Recent content by operamini

  1. O

    Ardhi University(ARU) - Special Thread

    inawahusu masurveyor ni program nzur sana kama utapata nafac na kujituma vilivyo
  2. O

    Ardhi University(ARU) - Special Thread

    wadogo zangu mnaopenda kujiunga na chuo hiki nawakarbshen sana waweza kuniuliza swali lolote kuhusu chuo chetu utajibiwa bila shaka KARBUN CHUO KIKUU ARDHI DAR ES SALAAM
  3. O

    nmb kanda ya kaskazini vp

    ndugu yangu kusini yasemekana ni watu 4 na si 30 kama walivyotangaza. Umesikia kitu kama hiki?
  4. O

    Nmb mtwara wameshaitwa walioomba

    amakweli watanzania hatuna raha majanga kwel kwel vp kuhusu source ? Nimechanganyakiwa mwenzangu tujulishane zaid
  5. O

    Nmb mtwara wameshaitwa walioomba

    tupeane feedbacks mkuu
  6. O

    Nmb mtwara wameshaitwa walioomba

    poa poa haina shida tutawasiliana
  7. O

    Nmb mtwara wameshaitwa walioomba

    basi tupeane taarifa ukisikia zimetoka mi mwenyewe nazisubiri kinoma mwenyewe "KAMA VIPI TUWASILIANE KUPITIA NAMBA HII 0719393245"
  8. O

    Nmb mtwara wameshaitwa walioomba

    Wapendwa wale walio apply nafasi za nmb mtwara vipi walishaitwa ktk usahili?
  9. O

    Mkopo kutolewa tu kwa wale waliomaliza form six au ftc/diploma miaka isiyozidi 2

    Hawafai hao mi ni mhitimu wa form six mwaka huu ila chafu
  10. O

    Taarifa kwa waliotoswa na heslb

    Simbaya mkituambia ofisi ziko maeneo gan huko dar hasa kwa sisi wageni. Hivi ndo nipo kwenye gari kutokea mbeya to dar. Help please
  11. O

    Heslb:mkopo mkopo mkopo mkopo chungulia apa uone....!!!

    Ukiwa tu namzazi mmoja hata kama bado kwenu mnamaisha bora ukiwa na uthibitisho wa death certficate. Ushachukua mkopo . Wenye wazazi wote wawili na hali zetu mbaya kupindukia hiyo heslb haijalitazama hlo na kutukatisha tamaa na masomo ya elimu ya juu kabisa. Waenga walisema"aliyenacho...
  12. O

    Nini hatma ya waliokosa Mkopo toka HESLB 2013?

    Ha2wez jua pengine hawa wa maisha bora ndo wanauhakika wa kurudisha mkopo haraka kuliko akina kayumba sie. Inakera sana familia hata hela ya nauli ni tatizo je usajili tutaweza? Tumuachie mungu ana makusudi yake kwa hili pengine riziki yetu haikuwa katika elimu.
  13. O

    Nini hatma ya waliokosa Mkopo toka HESLB 2013?

    Tupo wengi kaka bwana aturehemu
  14. O

    Wale wa urban planing tupo wangapi?

    Ndugu zangu husika na mada tajwa hapo juu kutokana na majanga yaliyotukumba first year kadhaa mwaka 2013/2014. Barchelor of science in urban and regional planing 2po wangapi wa index number did not secure. Mi ni moja wenu
  15. O

    Tatizo: HESLB account has been suspended

    Tuombeane wenzangu tangu chekechea tunasoma shule za kata hii ni kuonyesha ni jinsi gan wazaz we2 wasivyokuwa na uwezo wa kutugharamia ktk shule nzur lakin bado heslb haitutazami?
Back
Top Bottom