Recent content by Open_Minded

  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji Mume

    Hapana bado sijampata
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji Mume

    Thread inasema mwenye nia aje pm na si vinginevyo
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji Mume

    Wasije tafadhali
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji Mume

    Connections sizihitaji wakuu.Nadhani mnanielewa
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji Mume

    Mkuu thread yangu inasema mwenye Nia aje pm not otherwise. Huyo unayempendekeza mpe thread link then yeye aamue kuja Pm. Asante
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji Mume

    Ni sahihi kwako lakini haipaswi kuwa sahihi kwangu!Ndiyo maana huu Uzi na vigezo nimeweka Mimi kwa matakwa yangu na si niaba ya mtu yeyote.
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji Mume

    Looh!
  8. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji Mume

    Habari Wana Jf, Mimi ni mwanamke wa miaka 32. Najitokeza kutafuta mwanaume matured kuanza naye mahusiano kuelekea ndoa. Nina amini mahusiano huanzia popote. Awe -Mkristo na awe na hofu ya Mungu. - Mwenye Nia ya dhati na utayari wa mahusiano -Umri kuanzia 32 -45 yrs -Awe na shughuli halali...
Back
Top Bottom