Recent content by Open Mind Convince Me

  1. Open Mind Convince Me

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Lori la Mafuta lapata ajali na kulipuka, watu 104 Wapoteza maisha na wengine kujeruhiwa...(Picha zinaogofya)

    Vyote vya bure vina adhari zake. Mwogope anayekuambia utapata chochote bure. Hata kama ni Mheshimiwa Magufuli na kudanganya toto yake anatoa elimu bure. Ni ya bure kweli kweli. Kila kitu kunaanayekilipia. Wewe unayedhani unapata vya bure utaweza kulipuliwa kama hawa waadhirika wa huko Morogoro...
  2. Open Mind Convince Me

    JamiiForums Tanzania Chato: Serikali kujenga Uwanja wa kisasa wa Michezo

    1. Bandari ya kisasa ya uvuvi CHATO 2. Hospitali ya rufaa CHATO 3. Jengo la kisasa la TRA la ghorofa CHATO 4. Mradi wa majumba ya kisasa wa NHC Estate CHATO 5.Ujenzi na ufunguzi wa mabenki CHATO 6. Mradi wa barabara za kisasa za Rami wilaya yote unaojengwa na SUMA JKT kote CHATO 7. Ujenzi wa...
Back
Top Bottom