Recent content by Opaque

  1. Opaque

    JamiiForums Tanzania Kuna namna Yanga inahujumiwa, ni ngumu kushinda ubingwa msimu huu

    Halafu mbona imetoka kufungwa na Simba, anashangaa nini?
  2. Opaque

    JamiiForums Tanzania Kuna namna Yanga inahujumiwa, ni ngumu kushinda ubingwa msimu huu

    Lakini tulikubaliana kuwa kocha wetu ni mtu wa kufanya rotation
  3. Opaque

    JamiiForums Tanzania Yanga yapigwa faini na CAF kwa makosa 3 likiwemo kuwasha fataki uwanjani wakati wa mchezo

    Nani, CAF? Hawa CAF ni Simba watupu
  4. Opaque

    JamiiForums Tanzania Yanga yapigwa faini na CAF kwa makosa 3 likiwemo kuwasha fataki uwanjani wakati wa mchezo

    Mikanganyiko bado ipo au imeisha?
  5. Opaque

    JamiiForums Tanzania Ukiniwekea Simba na Ngogwe nitachagua Ngogwe (Nyanya chungu)

    Mbona ni vitu viwili tofauti? Nyanya chungu na Simba SC vinawekwaje katika machaguo?
  6. Opaque

    JamiiForums Tanzania Heri ya Kuzaliwa Rais na Mwekezaji wa Simba Sc Mo Dewji

    Sasa unataka awatakie hata kama siku sio husika? Halafu anawatakiaje humu JF?
  7. Opaque

    JamiiForums Tanzania Yafuatayo yatafanyika Simba SC kuelekea Msimu wa 2023/2024

    Ishu sio bei, ishu ni kiwango cha mchezaji. Ingekuwa ni bei ya mchezaji. Linganisha bei ya Feitoto na Morrison. kuna wakati unaweza ukawa na mchezaji wa gharama ya kawaida lakini kiufundi akakufaa, na kinyume chake
  8. Opaque

    JamiiForums Tanzania Nataka nifumue ukweli kuhusu 666

    Unawasifu wazungu kwa AI, halafu muda mfupi baadae unawaponda kwa haki za mashoga!
  9. Opaque

    JamiiForums Tanzania Nataka nifumue ukweli kuhusu 666

    cc: CAPO DELGADO
  10. Opaque

    JamiiForums Tanzania Nataka nifumue ukweli kuhusu 666

    Unawakata stimu wasabato akina Capo Delgado
  11. Opaque

    JamiiForums Tanzania FT: Nusu Fainali ASFC Cup: Azam FC 2-1 Simba SC : 07-05-2023, Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara

    Kwa hiyo sio kufika nusu fainali tu?
  12. Opaque

    JamiiForums Tanzania Nataka nifumue ukweli kuhusu 666

    Hivi hukumu si inaweza ikawa positive au negative? Kuurithi ufalme wa mbingu sio hukumu?
  13. Opaque

    JamiiForums Tanzania Nataka nifumue ukweli kuhusu 666

    Hizi tafsiri zinatokea wapi? I mean, ni nani ametafsiri hivyo, na kwa kufanya rejea ya wapi?
  14. Opaque

    JamiiForums Tanzania Nataka nifumue ukweli kuhusu 666

    Kwa hiyo 'NASI' hapo inasimama badala ya Wakatoliki? Kwa nini isiwe badala ya kitu kingine?
Back
Top Bottom