Pombe bana hana shida na wafahasi wake tatizo hao wafahasi ndio walafi wanamtumia vibaya...kwa mf mi hapa na chupa ndogo tu ya ndovu napiga 5 au 6 nikalale!
Ni ukweri usio pingika side effect ya pombe. Ila sasa ni mbinu gani za msingi unatakiwa kufata ili uache pombe maana ina mzuka wake ameizng. Ukikumbuka kile kifalaja na bashasha unakokuwa unakapata kupitia tungi..hata sasa nimelewa kidogo!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.