Recent content by Onyoso Wuon Mo

  1. Onyoso Wuon Mo

    Wanaume naomba tuwapumzishe wanawake hapa Jukwaani, imekuwa kero na aibu sasa haya malalamiko yetu kila saa

    Mwenye kisima huwa hapangi foleni [emoji3][emoji3] ukilijua hilo huwezi oa single mother [emoji4][emoji4]
  2. Onyoso Wuon Mo

    DOKEZO Wanasiasa na mipango ovu ya kuiua eGA

    Wanasiasa wanapigia kelele sana ishu ya PPP kwa sasa! Maana wanajua ulaji wao upo humo! Nilishangaa kusikia kuwa Wakorea wapo TRA wanaweka mifumo ya kodi na kuilink na mifumo ya Bandari! Ilhali EGA wapo na wana wataalamu kibao wazawa wenye uwezo wa kujenga mifumo. Zile zama za upigaji...
Back
Top Bottom