Hivi ukitaka kumhamisha kijana wa kidato cha kwanza kutoka shule ya kutwa ya serikali kwenda shule ya bweni ya serikali iliyopo mkoa tofauti unafuata procedures gani?? Mwenye anajua anisaidie apa wakuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.