Recent content by only girl

  1. O

    JamiiForums Tanzania Mtaalam wa kuandika Memorandum

    Unahitaji kuandaliwa hyo memo? Mana yupo mtu ambae me namfahamu anafanya hizo isue
  2. O

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua kampuni ya Clearing & Forwarding

    Mkuu me naomba ajira tu as a secretary
  3. O

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Elimu yangu kidato cha nne . Nashukuru kwa mawazo yako ubarikiwe
  4. O

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Salam kwenu wana JF Natafuta kazi iwe ya stationary, sekretary au reception . Nina uzoefu wa miaka (3) Au hata ya kufanya usafi maofisini au kuuza duka lolote me nafanya bora nipate rizki ilio halali. Nategemea ushirikiano wenu
  5. O

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi anahitajika

    Hahahaaa!!! We ni mmsai weweee Tafuta mmasai mwenzio hiyo ndo suluhu ya tatizo lako
  6. O

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi anahitajika

    Labda uende kijijini c hapa mjini
  7. O

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa Kikurya tunajua kupenda

    Maybe huyo cris brown chimbuko lake ni mkurya pia
  8. O

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa Kikurya tunajua kupenda

    Hahahaaaa!!! Majanga
  9. O

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kitanzania sijui mkoje yani....mnaboa sana

    Aliendika hiyo mada hajielewi
Back
Top Bottom