Kama una NGUVU badala ya Kupanda MAUA na Mapambo yasiyo na faida nyumbani kwako weka Bustani, fuga kuku wako wa kienyeji, fuga mbuzi wako na ngombe mmoja wa maziwa. Katu hutolalamika.. ila ukiwa MVIVU wa kutolima utakula sumu tu maana wengi ni wavivu na wanataka matokeo ya chapu chapu na faida...
Tuombe USAIDIZI wa Nchi zingine ata Tanzania Ilisaidia Ukombozi wa Nchi fulan fulani Afrika..Ko USAIDIZI WA NJE ni Muhimu sana kwa apa tulipo..Kuna mataifa inabidi yatusaidie Kumuondosha mkoloni CCM na kuifanya Tanznaia Iwe Huru kutoka utawla wa KITUMWA utawala wa Kidikteta wa Chama kimoja tokea...
CCm inatakuwa ife ndo taifa lipate uhuru kamili hawa ni zaidi ya Wakoloni na mbinu zote za kikoloni ndo wanatumia dhidi ya watu wa nchi hii kuanzia Propaganda, na ukandamizaji na ubaguzi
Unata tuache Ukabila kwamba wachaga tusiwe wachaga tuwe wasukuma au.. Ukabila haukwepeki... Kila eneo lina tamaduni zake na ni za kikabila na Mbunge anachaguliwa kulingana na tamduni za hao watu anaowaongoza.. maana Mbunge anatetea maslai ya watu wa eneo husika.. Na anatakiwa awe anawajua watu...
Ukabila haukwepeki.. We ni mchaga ni mchaga huwezi kuwa Msukuma tuachage usasa.. Mtu hajui ata kichaga hajui mitaa haishi kwenye iko eneo atajua watu wanakabiliwa na changamoto zipi?? Unamchagua mtu anaishi Dodoma jimbo lipo Moshi.. Mnabaki kumsingizia nyerere nyerere thus nyerere what.. Nyerere...
Ishu sio Ukabala..Ishu ni kwamba anakosekanaje mtu mzawa wa enek ilo anaishi apo.. Ilo ni Gap tusitetee ujinga bhana.. Rombo hatuwezi kukubali uo ujinga wa kuja kuongozwa na mtu ambae sio mzawa.. Moshi vijijin imekua ovyo ovyo maendeleo hakunaa kabisa.. ona sasa mmekosa watu imara wa...
Wewe ULIZALIWA na nguo wewe?? mbona unavaa Nguo unaficha nn, Kwan ulizaliwa na Nguo?? Tuacheni kukariti Maisha usomi hauuusiani na kuvaa, swala la uvaaji ni destuti ya mtu wala sio usomi, Msifikir mtu kusoma ndo kutachange utaratibu wake mzima jinsi anavopenda kuishi na kuonekana, Ukitaka Rasta...
Peponi Yenyewe ingekuepo Wazungu ungekuta washaenda uko, Kama sayari ya Mars tu wanaenda wachdche na kuna mpango wa kupeleka watu uko iyo Mbingu iko wapi,.
MTu alikaa akadraft SIMULIZI na watu wakaziamini bas, Utasikia unabishana na mtu anakazana eti soma mstari fulan soma kifungu fulan badala...
NDo Kukua kwenyewe uko, Ukianza kitu kikakubalika kikasambaa duniani ndo fahar yenyyewe... Sisi kama Wachaga tunawakaribisha waTanzania wote kujiunga na CHADEMA na watapewa nafasi sawa ikiwemo Uongozi ndani ya chama ili cham kiendelee kusamba zaidi, Kingebaki Kilimanjaro tu na kua na viongozi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.