Wananchi wa Tabora njiani wamezingira kituo cha kutangazia matokeo huku wakimtaka msimamizi kumtangaza haraka mshindi ambaye wanadai ni bwana Peter Mkufya kupitia CUF Kashinda July wakiogopa kuwa CCM wanataka kuhujumu matokeo baada ya mgombea wa CCM kudaiwa kugomea matokeo, ndipo jeshi la...
MIE NAOMBA RATIBA YA SHUGHULI HIYO,NA ITATANGAZWA KITUO GANI,
POMBE NI KILEVI TU HAKUNA HOJA HAPO,,Mbona SUGU,MDEE,LEMA WANAVYO VUTA BANGI,NA WANA JENGA HOJA VIZURI NA TUNAWASHANGILIA,KWA NINI POMBE YA MAKOGOLO IWE NUKSI.
MIE NAOMBA RATIBA YA SHUGHULI HIYO,NA ITATANGAZWA KITUO GANI,
POMBE NI KILEVI TU HAKUNA HOJA HAPO,,Mbona SUGU,MDEE,LEMA WANAVYO VUTA BANGI,lakini wa jenga Hoja vizuri na tunawapigia makofi.
hizi taalifa zinaukwel kabisa ndan yake,ila mleta mada katia chumvi. tusifanye utani jambo hili,Hata mie nmezisikia kutoka kwa afisa mmoja wa pale makao makuu ya chama, hata kabula uzi huu kuletwa hapa,tunaomba makao makuu walishughulikie swala hili mapema.kabla jambo hili halikuwa kubwa.
mie smemi,mwingulu amesema jana bungen atatoa adabu 2015.jimbo la lissu kijiji kimoja tu kinaumeme,anachofanya kudili na zitto na shughuli chama nakusahau waliomtuma,2015 adabu lazma iwepo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.