Recent content by ong'wapinyangu

  1. O

    PSPS tulipeni wastaafu wa Polisi.

    Si polisi tu wastaafu wote tunateseka sana Mhe Rais au Waziri Mkuu walivalie njuga na kulitafutia ufumbuzi Mkurugenzi awajibishwe kama hatimizi wajibu wake TUNAHITAJI MSAADA WA WAHESHIMIWA HARAKA SANA KAMA MLIVYOFANYA BANDARINI au TRA
  2. O

    Malipo ya wastaafu penshen kulikoni?

    Hayo ni majibu rahisi kwa HOJA NYETI wahusika tunaadhirika wewe unaleta utani!OVYOOOOOOO!!!!!
  3. O

    Malipo ya wastaafu penshen kulikoni?

    Mhe Rais JPM na Mhe PM KMK wafanye ziara ya kushtukiza PSPF kuona tatizo linalosababisha kwa nini wastaafu tusilipwe kwa wakati
Back
Top Bottom