Recent content by Oneya

  1. Oneya

    JamiiForums Tanzania Kinachofanywa na Mchungaji Msigwa hakina tofauti na kinachofanywa na CHADEMA, nadhani kuna haja ya kubadilika

    Unawapotezea watu muda tu Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  2. Oneya

    JamiiForums Tanzania Bunge halina manufaa yoyote kwa Watanzania. Lifutwe, ofisi ya DED ichukue majukumu ya wabunge

    Tena hata Bora lisiwepo Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  3. Oneya

    JamiiForums Tanzania Serikali kukopa Fedha NMB kwaajili ya kununua Mabasi 100 ya Mwendokasi

    Tutegemee NMB kuwakomoa walimu kwenye mikopo kurudisha Hilo fungu Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  4. Oneya

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa Mbona hasikiki au amerudi CHADEMA Kimya Kimya?

    Ashaumbuliwa kwa matamshi yake Tena yule mropokaji Musukuma ashatuibia Siri kuwa alikuwa MTU wao huku alikuwa anatafuta wa kumeguka nao amewakosa Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  5. Oneya

    JamiiForums Tanzania Mtanzania Afungua Kesi Mahakamani kuhusu kuzimwa kwa mitandao 2020, Aiomba Mahakama ichukue hatua kali

    Safiiiiiiiiiii Sana hiyo nampongeza Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  6. Oneya

    JamiiForums Tanzania Kikokotoo ni dhulma

    Acheni mdhulumiwe.....Lissu ashawaambia gomeni hamtaki....kila mfanyakazi Ni CCM unategemea nini. Tena wakishushe zaidi mpate akili angalau mtashituka. Nyie na ndege wale kweleakwelea hakuna tofauti Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  7. Oneya

    JamiiForums Tanzania PSSSF Dodoma mama yangu akifa kwa uzembe wa staff wenu hakika jiandaeni kupokea maiti ofisini

    Kama unajifurahisha kuandika kumbe majibu ulishapewa Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  8. Oneya

    JamiiForums Tanzania Mabinti wa Kiislamu kuvaa bukta katika mafunzo JKT ni kwenda kinyume na Katiba

    Walivaa.....kabla na hatukuona madhara yake. Hao mabinti zenu wakiingia disco na kutembelea Beach wanapigilia kaptura eti JKT Ni kinyume. Acheni udini kwenye Mambo ya kiserikali Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  9. Oneya

    JamiiForums Tanzania Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine?

    Hakuna kitu hapo huyo Makonda wako Ni usukuma tu ndio unakuumiza....hafai kwanza anatakiwa kuwa jela. Hivyo Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  10. Oneya

    JamiiForums Tanzania David Kafulila anakumbukwa na wakulima wa Simiyu kwa kupaisha bei ya Pamba kufikia Tsh. 2200 kwa kilo katika historia ya Taifa letu alipokuwa RC

    Hivi aliitwaje na Prof. Muhongo? Sijui tumbili? Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  11. Oneya

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Jakaya Kikwete ni kinara wa utafutaji fedha za kuimarisha elimu Afrika

    Usituchefue tumekula supu ya gharama ujue.....hili chapisho bandika kwenye kuta za nyumba yako siku watoto wako wakikua wataona ulivyo kuwa wa hovyoo Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  12. Oneya

    JamiiForums Tanzania Rushwa imehalalishwa? Mbona sehemu nyingi ukienda watu wanadai rushwa bila kificho?

    Kubali yaishe hivi hii pumvi nzito ya kuzuia katiba Bora na tume huru ya uchaguzi unadhani Ni kwa ajili ya nini? Mkuu Kama hata kwa mkeo unaweza kupiga rushwa wewe tembeza ndio sera ya CCM vinginevyo utakufa njaa. Huko maofisini kila mtu boss, typist Hadi watafuta mafaili Ni chochote ndipo...
  13. Oneya

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume ataka uondolewe ukakasi kwenye mchango wa gari la Lissu ndio achangie

    Aliyemlazimisha Ni nani Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  14. Oneya

    JamiiForums Tanzania Agnes Marwa aomba Maslahi ya Majeshi Yaboreshwe

    Kwani ashasikia wanalalamika.....hao hawana hata kikokotoo.....hata Ile habari ya vyeti feki huko hakuna aliyeguswa. Ningedhani Kama angekuwa mzalendo awasemee walimu, madaktari na manesi. Polisi Wana mishahara midogo mnooo na pia ukipitishia kikokotoo Hawa kwa hulka Wana kuwa na kitu...
  15. Oneya

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya posts humu ukizisoma Ni Bora ukae karibu na kopo unaweza kutapika

    Hakuna asali inayozidi utu wa mtu
Back
Top Bottom