Recent content by One nation

  1. O

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya na Serikali Tatu: Warioba amvaa Gharib Bilal kwenye kikao, hali yachafuka...

    Hiyo hali ya viongozi wa CCM kujikinga kwenye mwamvuli wa muungano ni mbinu za kulilia kuitawala Tanzania yenye raia wanaoamka toka usingizini,wameisha poteza time kwa uonevu na uovu wao,watupishe cc raia ndio wenye nchi na hatuwataki na hatuwapendi sana tu,tunataka kujenga nchi yetu unyonywaji...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Lema akamatwa na Polisi na kuachiwa leo hii

  3. O

    JamiiForums Tanzania Msigwa mbaroni Iringa, Apandishwa Kizimbani

    Kila kitu kina mwanzo na mwisho,Chadema ndi vuguvugu la mabadiliko chanya hapa nchini kwetu,hao viongoz wa Chadema si leo kuanza kuandamwa,ila sijawahi kusikia viongoz wa ccm kukamatwa na huwa na makosa makubwa na mengi tu!,au ni kwakua ccm ni chama tawala,hakuna marefu yasiyo na ncha na mwisho...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Msigwa mbaroni Iringa, Apandishwa Kizimbani

    Wewe wanawake gani hao ambao wanafananishwa naviongozi wa Chadema?,acha matusi na dharau wewe mtanzania feki,ama na wewe ni gamba nini,au umekosa cha kuongea,ama mawazo yako na ueledi wako uko makalioni,kuwa na staha na watu wakuzungukao,usilopokelopoke,hata wewe umezaliwa na mwanamke kama hao...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Mabomba ya gesi toka Mtwara yanaelekea Ulaya!

    Ifike wakati viongozi wawe na huruma na si kuona wananchi kama mashati ya mitumba sokoni,
  6. O

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Mabomba ya gesi toka Mtwara yanaelekea Ulaya!

    usikimbilie hitimisho la matusi na kebihi ,nchi yenyewe viongozi wake hufanya kazi kwa maslahi yao na sio ya wananchi ndugu,nini cha ajabu hapo?.
Back
Top Bottom