Recent content by OMWENDEMUGANGI

  1. OMWENDEMUGANGI

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kidato cha nne 2011 ya natoka lini?

    Necta, watoeni watanzania wasiwasi ili waangalie mambo mengine ya kufanya. Wanamajukumu mengi mazito na siyo kusubiria matokeo ya mtihani wa kidato cha nne 2011 tu.
  2. OMWENDEMUGANGI

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kidato cha nne 2011 ya natoka lini?

    Tatizo ni nini watu wanakua na kigugumizi. Tangazeni matokeo ya kidato cha nne 2011 ili watu wajue cha kufanya.maana wanafunzi wenyewe sasa hivi wanakosa amani.
  3. OMWENDEMUGANGI

    JamiiForums Tanzania Necta na matokeo chakachuzi

    NECT bwana, fanyeni kile ambacho WATANZANIA tunakihitaji (UKWELI) maana msema kweli ni mpenzi wa Mungu
Back
Top Bottom