Recent content by Omushaijaekikaka

  1. O

    Kama ni kweli Ma - DED zaidi ya 100 watapandishwa kizimbani na TAKUKURU kwa Ufisadi basi mfumo wa MagufulI kuteua Makada wa CCM Umefeli

    Ndugu zangu Watanzania sikiliza huu ujumbe wa sauti hakika umebeba ukuu wa Mungu juu ya Taifa letu na kiongozi mkuu wa nchi yetu karibuni wote.
  2. O

    Kama ni kweli Ma - DED zaidi ya 100 watapandishwa kizimbani na TAKUKURU kwa Ufisadi basi mfumo wa MagufulI kuteua Makada wa CCM Umefeli

    Mimi nadhani kuwa Kada siyo tatizo tatizo ni kukosa maadili na kutokuheshimu Mali za Umma,jambo lingine jamii imekumbwa na mmomonyoko wa maadili kwa vile tuliamua kuwaweka kando viongozi wa kimila ambao kwa nyati zile waliheshimika katika jamii kwa kusimamia miiko mira na dastuli lakini kwa sasa...
  3. O

    Lissu: Wassira alimkimbia Nyerere kwenda NCCR, baada ya kufa akarudi CCM

    Utasikia ooh! tunataka serikali mbili Hawa jamaa hakika wanasitahiki kuitwa Intarahamwe!!!!kwa kiongozi mwenye utimamu wa fikra hawezi kudai Serikali mbili kisha atambe mbele za watu kuwa anayonia ya kulinda na kudumisha Muungano wetu!! Ukimuuliza Serikali hizo mbili ni ipi na ipi? jibu hana...
  4. O

    Lissu: Wassira alimkimbia Nyerere kwenda NCCR, baada ya kufa akarudi CCM

    Tena maccm yamefanya usaliti mbaya zaidi katika hii nchi,kwanza yaliua mashirika yote ya umma,yakaua viwanda vilivyo kuwa vikiajiri vijana wengi kisha wakafanya maandalizi ya kuhakikisha vijana wengi wanaozea jera,ndugu yangu tafatari ni vijana wangapi leo hii watiwajera basina hatia na wengine...
  5. O

    Ombi maalum kwa Dr.Asha-Rose Migiro

    Binafsi nakushauri kwa kuwa umeteuriwa kuwa Waziri wa sheria na katiba na hivi ninavyo andika hapa tupo katika harakati za kuanza rasimi kwa bunge la katiba,chonde chonde tunahitaji Serikali yetu ya Tanganyika kama wenzetu wa Zanzibar walivyo jirejeshea Serikali yao ya Zanzibar na hivyo...
  6. O

    Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri - Jan 19, 2014

    Hakuna sababu ya kukiri unyonge vinginevyo ni kumpa ushindi shetani kitu ambacho kamwe hakitatokea,mimi binafsi sikubaliani na uteuzi huu uliofanyika,hakika sikio la kufa halisikii dawa!!!CCM sasa ndiyo kifo kimewafika maana amini usiamini hawa jamaa walioteuliwa ndiyo hasa watasaidia kuipeleka...
  7. O

    Baada ya "Mbatia" Kurudi NCCR, Sasa ni Zamu ya "Mbowe" Kurudi CHADEMA.

    Sikia na ujifunze pia ni vema ukafunguka macho uweze kuona! Tatizo kubwa kwa baadhi ya watanzania hapa na maanisha wanaojiita wasomi wa vyuo na wale wenye elimu msingi, hawataki historia iwafunze ama iwakumbushe hapa ndiyo wengi wao wanakwamia na hivyo kuonekana kama wageni na hali ilivyo katika...
  8. O

    Balozi aibiwa simu Ikulu kwenye dhifa ya kitaifa ya sherehe za Mapinduzi

    Wewe hacha ujinga mara ngapi watu wanaibiwa bila hata ya wausika kujeruhi au kufanya fujo yoyote! wanatumia timing tu na kuyasoma mazingira tayari mtu unaibiwa, kumbuka ni Zanzibar hapa hapa ambapo upanga wa Dhahabu uliokuwa --------- na IGP Aliyemaliza muda wake tena wenye thamani kubwa na...
  9. O

    Mwenyekiti CHADEMA Temeke adai alitekwa na mwanaCHADEMA mwenzake, CHADEMA yataka Polisi ichunguze

    Ushauri wangu kwa vyombo vyote vya ulinzi na usalama, vijitahidi kadiri ya uwezo vilionao kutojiingiza katika Itikadi za vyama ili viweze kutenda kazi zake za ulinzi na usalama wa Raia na mali zao bila ya kuhathiri sheria ya kuanzishwa kwa vyombo hivi. Maana kwa sasa Raia wamepoteza imani kubwa...
  10. O

    Mwenyekiti wa CHADEMA Temeke Joseph Yona, apigwa na kuumizwa vibaya!

    Hawa jamaa wa ccm mbona izo ndiyo tabia zao kumbuka Dr Omari Ally Juma walimfanya nini mzee wa watu! Mungu amlaze mahali pema peponi amen! Kumbuka mtoto wa Mzee Samweli Malicela wakati akitoka Dimond jubilee kwenye mkutano wa umoja wa vijana ccm walimfanya nini pale taa ya Las vegas na kwa mbia...
  11. O

    Mwenyekiti wa CHADEMA Temeke Joseph Yona, apigwa na kuumizwa vibaya!

    Wewe hakika ni -------- maana ni bora ungalikuwa mjinga!!Shenzi sana unadhani tabia zenu ccm na polisiccm wakiongozwa na Mwigulu kuua watu kila sehemu ya nchi hii, hivi leo hii unadhani utapotosha Umma wa watanzania kwa kusingizia vitendo hivyo kuwa vinafanywa na CHADEMA hata ufanye nini...
  12. O

    Jumatatu wapenzi wa Zitto tujitokeze kwa wingi

    mfuasi wa mtu! hahahahaha! cku hayupo utakuwa wap we mbulula? chama ndo habari ya mujini.
  13. O

    Kutoka Mahakama Kuu kanda ya Dar: Usikilizwaji wa uamuzi wa pingamizi la Zitto

    Jambo usilolijua nisawa na usiku wa giza, mbona katika utetezi wenu amuoneshi sehemu ambayo mnakiri zairi pasina shaka kwamba Wasira Steevin aliposema Chadema haitafika Desemba 2012 itakuwa imekufa nipe kigezo gani alitumia nje ya kumtegemea Zitto kama kalata yao ya kuua chama kwa kuanzisha...
  14. O

    Wachina wakamatwa na Shehena ya Meno ya Tembo Bandarini Dar

    Mimi binafsi imeniumiza moyo maana tangu niliposikia huyu bwana shimbo kapewa ubalozi china nilianza kutafakari jinsi ambavyo watanzania tunaisahau hii nchi yetu!ujangiri umelatibiwa kwa umakini na hawa jamaa wa trilion 3 mzee wa kisomali hivyo amini usianimi tembo wote watamalizika hadi...
  15. O

    Wachina wakamatwa na Shehena ya Meno ya Tembo Bandarini Dar

    Mimi binafsi imeniumiza moyo maana tangu niliposikia huyu bwana shimbo kapewa ubalozi china nilianza kutafakari jinsi ambavyo watanzania tunaisahau hii nchi yetu!ujangiri umelatibiwa kwa umakini na hawa jamaa wa trilion 3 mzee wa kisomali hivyo amini usianimi tembo wote watamalizika hadi kufika...
Back
Top Bottom