Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Winnie Odinga, ametangaza rasmi nia yake ya kuwania kiti cha Useneta wa Nairobi katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027, hatua inayomuingiza moja kwa moja katika kinyang'anyiro cha uongozi wa kisiasa jijini humo.
Akizungumza Alhamisi, Oktoba 15, 2026...
Gavana wa Trans Nzoia, George Natembeya, ameibua wasiwasi baada ya kudai kuwa maafisa wa polisi waliokuwa wakimlinda wameondolewa kwa mara ya pili, huku akiitaka Idara ya Kitaifa ya Polisi (NPS) kutoa maelezo rasmi kuhusu uamuzi huo.
Katika taarifa aliyotoa Alhamisi, Oktoba 15, 2026, Natembeya...
Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) imetangaza kuendelea na juhudi za kurejesha KSh170 milioni kutoka kwa aliyekuwa Gavana wa Kiambu, Ferdinand Waititu, kufuatia uamuzi wa Mahakama Kuu uliodumisha hatia yake katika kesi ya ufisadi na kurejesha mashtaka ya utakatishaji fedha.
Katika...
Leo, Oktoba 15, 2026, Kenya inaadhimisha mwaka mmoja tangu kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu, Raila Amolo Odinga, mwanasiasa aliyekuwa na ushawishi mkubwa katika historia ya siasa za Kenya na mapambano ya demokrasia nchini.
Raila alifariki Oktoba 15, 2025, akiwa na umri wa miaka 80 katika jimbo la...
Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) imemkamata mwalimu wa shule ya Friends School Kamusinga Boys, Kaunti ya Bungoma, kwa tuhuma za kudai rushwa ya KSh300,000 kutoka kwa walimu watatu wasio na ajira, akiahidi kuwasaidia kupata kazi kupitia Tume ya Kuajiri Walimu (TSC).
Mwalimu huyo...
Gavana wa Nairobi, Johnson Sakaja, ametangaza mpango wa KSh10 bilioni wa kukabiliana na mafuriko jijini Nairobi, huku serikali ya kaunti ikiendelea na maandalizi ya mvua kubwa za El Niño zinazotarajiwa kunyesha nchini.
Akizungumza wakati wa kuwasilisha ripoti ya maandalizi ya El Niño mbele ya...
Gavana wa Tharaka Nithi, Muthomi Njuki, amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Baraza la Magavana nchini Kenya (Council of Governors – CoG), akichukua nafasi iliyokuwa ikishikiliwa na Gavana wa Wajir, Ahmed Abdullahi.
Uchaguzi huo ulifanyika Oktoba 12, 2026, wakati wa mkutano wa magavana 47...
Viongozi watatu wa kanisa la St. Abraham Israel Assemblies of God eneo la Bondo, Kaunti ya Siaya, wameachiliwa kwa dhamana baada ya kufikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashtaka yanayohusiana na tukio la watoto wanne kuungua wakati wa ibada inayodaiwa kulenga kuwatoa pepo.
Washukiwa hao...
Mwanzilishi wa kanisa la Mamlaka Hill Chapel, Askofu Charles Muhia Ng’ang’a, amefungua kesi katika Mahakama ya Ajira na Mahusiano ya Kazi jijini Nairobi akitaka kurejeshwa kwenye nafasi yake baada ya kufutwa kazi, huku akidai fidia ya zaidi ya KSh21 milioni.
Ng’ang’a, ambaye alikuwa akipokea...
Uchunguzi mpya wa BBC Africa Eye umeibua maswali kuhusu mauaji ya waombolezaji watatu waliopigwa risasi wakati wa hafla ya kitaifa ya kumuaga aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga, katika Uwanja wa Kasarani mnamo Oktoba 16, 2025.
Katika uchunguzi uliotolewa Oktoba 12, 2026, BBC...
Mwandishi wa habari wa Marekani, Rob Finnerty wa kituo cha Newsmax, amelazimika kuwaomba radhi Wakenya baada ya matamshi yake kuhusu Nairobi kuzua mjadala mkali kwenye mitandao ya kijamii.
Katika kipindi chake cha Oktoba 9, 2026, Finnerty alidai kuwa ongezeko la wahamiaji kutoka Afrika...
Kundi la vijana liliandamana nje ya Redeemed Gospel Church, Buruburu, Nairobi, Jumapili Oktoba 4, 2026, likidai hatua zichukuliwe dhidi ya wasichana wanaoonekana kwenye video iliyosambaa wakimnyanyasa msichana anayetambulika kama Jahenda.
Video hiyo inaonekana kuonyesha Jahenda akiwa...
Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna amezinduliwa kama kiongozi wa The Equitable Party (TEP) na mgombea wake wa urais kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027.
Katika hafla iliyofanyika Nairobi Oktoba 4, viongozi wa chama hicho walimtangaza Sifuna kuwa kinara wa TEP, huku wabunge na viongozi kadhaa akiwemo...
Msajili wa Kampuni nchini Kenya amefuta kampuni 440 kutoka kwenye rejista rasmi ya kampuni, hatua iliyogusa biashara katika sekta mbalimbali za uchumi.
Kwa mujibu wa Gazette Notice ya Oktoba 4, 2026, kampuni hizo zilivunjwa rasmi na majina yao kuondolewa kwenye Register of Companies chini ya...
Former Deputy President Rigathi Gachagua amedai Rais William Ruto anatumia safari yake ya Marekani, ambako anahudhuria UN General Assembly, kukamilisha agreement na kampuni ya Marekani kuhusu uchimbaji wa niobium na rare-earth minerals za Mrima Hill, Kwale.
Gachagua amekadiria deposits hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.