Tupo tayari kama Watanzania.
Tutafuata sheria inayotutaka kukaa mita 100 kulinda kura. Umezaliwa siku moja utakufa siku moja tunachoomba ni kila kitu kifanyike kwa haki na hakuna mtanzania atapinga hilo. Tunawakumbuka kina Steve Bicco ni kwa kuwa walijitolea maisha yao kuikomboa nchi yao.
Ni miaka 18 imepita sasa tangu Serikali ya CCM chini ya Benjamin Mkapa kutoa stop order hapo mwaka 1997 ya kuwazuia wakazi wa kipunguni A, Ukonga jijini Dar es salaam kuendeleza makazi yao ili kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege wa Mwalimu JKN lakini wakazi hao mpaka leo hawajalipwa chochote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.