Recent content by Omikom86

  1. O

    JamiiForums Tanzania Kusafirisha Mchele kutoka Mbeya kuja Dar es Salaam

    Bei ya kusafirishia ni kati ya elf 8000 mpaka elf 10000 itategemea na saiz utayochukua Magari yanapatikan uyole Na vibali ni ushuru2 hamna kibali chengine
  2. O

    JamiiForums Tanzania Nataka kuacha Chuo nijiingize katika ujasiriamali kwa mtaji huu

    Hahaha mkuu unajua kutoa ushauri
  3. O

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa sheria ya mikataba katika kesi yangu hii hapa

    Unajua mkuu viongozi wengi wa serikali za mitaa kama hao wenyeviti na watendaji hata form4 hawajafika unahisi wataelewa kuhusu mambo ya kisheria just wanakwenda kwa uzoefu tu
  4. O

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa sheria ya mikataba katika kesi yangu hii hapa

    Nashukuru mkuu kwa maelezo yako ila mkuu kuna gharama ambazo nazo nimeingia kama kununua vifaa kwa ajili ya biashara unahis navyo wataambiwa walipe? Maana niliwahi kwenda kwenye serikali za mitaa lakini ukiwaambia kwamba kuna gharama niliingia out of kwenye mkataba wananiuliza kwani...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa sheria ya mikataba katika kesi yangu hii hapa

    Kuna mtu niliingia naye mkataba wa kunikodisha chumba cha kufanyia biashara, chumba kilikua hakijakamilika kimatengezo kwahiyo akaniomba fedha kwa ajili ya kukamilisha matengenezo tukakubaliana na mimi nikaandikishiana naye kwamba anipe chumba kikiwa kimekamilika kimatengenezo. Mimi nikaanza...
Back
Top Bottom