Habari za wakati huu!
Mimi Leo Nina swali kwenu ndg zangu hivi kati ya watu walio kwenye ndoa tayari yaani nazungumzia ME na ambao hawajaoa ni wapi kati Yao wana maendeleoa zaidi ya wenzake kwenye maisha ?. Coz wanaume tulio wengi tunaamini kuwa kutokuoa ni njia mojawapo ya kufanikiwa kwenye...
Habari za asubuhi, natumai ni wazima wa afya ndugu zangu
Naomba kupata Elimu kidogo juu ya dhana kwamba Jamii ya kimasia hutumia MKUKI kama ishara ya kuhalalisha zinaa au kuweza kuchepuka na mke wa rafiki au mtu mwingine pale wanapoweka MKUKI mlangoni,
Je hii Mila Bado upo ?
Au ilishapitwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.