Recent content by omeka

  1. O

    JamiiForums Wizara ya Elimu mnaugonvi gani na walimu/wakufunzi?

    Watendaji wizara ya Elimu wanaugomvi gani na walimu/wakufunzi waliopo chini ya katibu mkuu? Mkufunzi anakaa miaka 6 hajapandishwa cheo/daraja na hapewi sababu yoyote zaidi ya kuwa tunashughulikia. 2011 walikuja na walaka mpya wa kiini macho kwa wakufunzi kwa wengi wa wakufunzi imekuwa ni...
  2. O

    JamiiForums Mwanaume habadiriki, wanawake mjifunze na muache kulialia hovyo

    Nashukuru kwa ushauri,kweli naumia naona dogo amekuwa sio yule mchangamfu wa siku zote.
  3. O

    JamiiForums Wanawake wa dijitali mmezidi kua vimeo kunako bedi... Jirekebisheni.?

    Naona kama tatizo ni wewe zaidi. mnakutania wapi wapi na huwa wametoka wapi?unampa nafasi ya kujisafisha au akifika unamparamia tu, pia Mwanamke atakuwaje gogo kama wewe upo active?mkunje ipasavyo,sio lazima ajue kukata kiuno,kama umempenda utamuelekeza usafi atakuelewa, Nilisoma mahali Kwamba...
  4. O

    JamiiForums Mwanaume habadiriki, wanawake mjifunze na muache kulialia hovyo

    Jamani mimi nimgeni humu JF ila ningependa kupata msaada kwa tukio lililomtokea mdogo wangu. Nina mdogo wa kike, 2009 alisema amepata mchumba, katika kuulizwa jamaa yupo vipi amewahi kuoa? anatokae wapi namengine mengi moja ya jibu ilikuwa jamaa hajao ila ana watoto 2 alizaa na wanawake 2...
Back
Top Bottom