Yaani hata kuwa kiongozi yeyote huku kama waziri, Makamu wa Raisi, Spika au naibu spika, maana toka SSH aingie nasikia vurugu za huku Bara tu, ikiwemo Ngorongoro, Loliondo, Serengeti kule kwa waitara na sasa kahamia bandarini, yaani all potentials of Tz are in the market nw, vinauzwa kwa fujo mno