Recent content by Omarykipingu

  1. O

    JamiiForums Tanzania Fukuto CHADEMA Moshi Vijijini: Anthony Komu amtishia katibu wa CHADEMA Kilimanjaro kwa bastola

    acha wapigane kwani chadema ugomvi ndio desturi yao huwa hawakubali kushindwa na kazi yao kubwa ni ubishi, sasa wanaanza kupigana wenyewe kwa wenyewe , kweli wanaelekea kubaya sana .
  2. O

    JamiiForums Tanzania Fukuto CHADEMA Moshi Vijijini: Anthony Komu amtishia katibu wa CHADEMA Kilimanjaro kwa bastola

    Anthony Komu aliyekuwa mmoja wa wagombea ubunge ndani ya chadema mkoa kilimanjaro amtishia kumpiga risasi na kutishia kumuua katibu wa chadema mkoa wa kilimanjaro ndg Basil Lema, hii ilitokea wakati ndg Lema alipomtangaza ndg Lucy owenya kuwa mshindi na ndg komu kuwa ameshindwa. Ndg komu...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Lowassa kutoka kuendeleza vitu hewa?

    Ndg Lowassa alipokuwa waziri mkuu aliitia hasara nchi kwa kusaini mkataba hewa wa richmond, mzee huyu alipobanwa na bunge kuhusu kashfa hii alishindwa kujitetea mpaka akaamua kufanya maamuzi magumu ya kujiuzulu. Leo tena ndg Lowassa baada ya kushindwa kupata nafasi CCM ya kugombea urais aamua...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Eti magufuli kapatika kwa mapenzi ya mungu jamani yaliyotokea dodoma kwenye mchakato nayo ni ya mun

    Magufuli ni chaguo la mungu, kama vile daudi alikuwa haaminiki bali ndg zake, vivyo hivyo kwa magufuli watu hawakuzania bt ndio kashinda, huo ndio ukweli magufuli chaguo la mungu
  5. O

    JamiiForums Tanzania Dr. Wilbrod Slaa v/s Makongoro Nyerere CV, nani anafaa kuwa raisi wa Tanzania kati ya hawa

    Hiyo CV ya makongoro uliyoiweka sio sahihi, umeweka CV ya zamani enzi hizo, Makongoro aliendelea na elimu baada ya kuvuliwa ubunge wa arusha alienda kusoma masters degree, pia kwa sasa ni mbunge wa africa mashariki na mwenyekiti wa wabunge wa afrika mashariki, hebu fatilia vuzuri ili ujue CV...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Mtatiro: Mambo matano yanayompa nafasi Makongoro kufaa kupitishwa kama Mgombe Urais tiketi ya CCM

    Makongoro anatosha kuwa rais na kama CCM wanataka washinde bila zengwe basi wampitishe huyu wanaweza pita kirahisi bt wakiwapitisha wanaotumia pesa, Chadema itashinda asubuhi
  7. O

    JamiiForums Tanzania Mtatiro: Mambo matano yanayompa nafasi Makongoro kufaa kupitishwa kama Mgombe Urais tiketi ya CCM

    Katika kipindi cha wiki chache zilizopita kumekuwa na uvumi mkubwa sana hadi kwenye magazeti na kwa wanavyuo wengi Tanzania wakitaja kuwa familia ya Mwalimu inataka kumtoa MAKONGORO NYERERE kuwania nafasi ya urais. Mimi sina tatizo na hilo kwani ni mtanzania na ana haki ya kugombea urais kama...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Ikulu sio wodi ya wagonjwa, Lusinde amnanga Dk. Slaa

    kwa nchi yetu ilipofikia hatuhitaji wagombea ambao direct wanaonekana wanamatatizo ya kiafya kwani hayo mengine Mungu anapanga kama kifo bt kama mtu ni mzee sana abaki kuwa mshauri na kama anamatatizo ya afya pia apumzike, madhara ya kuwachagua watu wenye matatizo ya afya na wazee hatutayaona...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Mpango wa wabunge kufisadi nchi kupitia posho na kiinua mgongo huu hapa

    Kwa wabunge wetu tunaowaamini kwamba wanakuwa wasemaji wetu na wazalendo wa kweli katika kuisimamia serikali ,kwa hapa walipofikia kutaka kutukia bunge kama chombo cha kuwafanya wawe mabilionare inanipa wasiwasi huko tunakoenda kama kweli tutapata watu wenye uchungu na taifa hili hususani...
Back
Top Bottom