Recent content by Omary Sultan Mndeme

  1. O

    Msaada Biashara ya Library

    Shukran mkuu ubarikiwe sana nitafanyia kazi hii
  2. O

    Msaada Biashara ya Library

    Wadau mbona mnapapita hapa naomben msaada kwa anayejua hili
  3. O

    Msaada Biashara ya Library

    Hahaha nimecheka mpaka mbavu zinauma kwahiyo picha uliyoattach hapo kwel hiyo biashara pasua kichwa
  4. O

    Msaada Biashara ya Library

    Wadau sijapata jibu bado nahitajika nipate kibali Cosota au kuna chama chochote kinatoa kibal kwa ajil ya kukodisha cd za movie za Kitanzania?Kama kuna mdau anajua hili anisaidie maana ninakahela kangu kangama nataka nikaingize hapo na nishaanza kukadokoa kasiishe bure mdau ajitokeze nami niweze...
  5. O

    Msaada Biashara ya Library

    Ahsante kwa kutaka kuelewa hili maana inaonyesha kuna dalili za kupata jibu ni CD
  6. O

    Msaada Biashara ya Library

    Wadau nimekuja hapa kwenu JF najua hamna kinachoharibika maana meng hutatutuliwa humu nahitaji kufungua library ya kukodisha mikanda ila nahitaji iwe ya kisheria zaid nauliza kunataratibu zozote zile zinafanyika kwa wenye mamlaka na Bongo movies kuzikodisha? Yaan kama ukataji wa kibali naombeni...
Back
Top Bottom