Hakuna binadam aliyekamilika MAMA YETU naamin ni mpenda ushaur kwahiyo tuache tutumie mabando yetu kwa gharama zetu kumshaur Mama inakuuma nini,siku za nyuma tulikuwa hatuna uwezo wa kushaur lakin kwa sasa tuko huru kwahiyo tuache tushaur tunavyotaka!,Kama imekuuma sana kumshaur mama Zima data...
Historia Imeandikwa tunakuamini Mama,Dua nyingi tunakuombea,Tunajua hukutarajia cheo hiki lakin kwa uzoefu wako ktk uongoz hakika utatuvusha na tuna imani kubwa na wewe!.
Tunakuamin Mama yetu(Rais wetu) na hakika utaweza kutuvusha hapa tulipo kutupeleka mbalia zaid,Una uzoefu wa uongozi ktk nchi hii na utendaji kazi wa watu wako, hivyo Chagua Makamu wa rais umtakaye na sio wa kwenye Magazeti au Social media!..TUNAKUOMBEA DUA MAMA YETU!
NAONA SIFA ZOTE ZINAENDA KWAKE AU KWASABABU AMEKUFA!
Anyway!..ALIYEKUFA AONGELEWE KWA MAZURI HIVYO MAGU AMEFANYA MAZURI MUNGU AMUWEKE SEHEMU ANAYOSTAHILI!
Naamin nchi yetu ina misingi imara na tumepata Jembe jipya lenye makali zaid ya aliyepita,Rais wetu mpya atatuongoza vyema na atakuwa bora pia!
TUMUOMBEE DUA MAMA YETU RAIS WETU SAMIA SULUHU HASSAN HAKIKA ATATUVUSHA!
Marais Wote waliopita wana mazuri yao mengi waliyoifanyia Tanzania hivyo Kifo Cha Magu kisitufanye tusahau mambo mazuri waliyoyafanya akina Kikwete,KILA MTU ATAACHA ALAMA YAKE TANZANIA SIO MAGU TU!
#Nonsense!
wote nyie ni wachumia tumbo tu,Hamjui hata hapa duniani mmeumbwa kwa ajili gani ndio maana mnatetea uovu hali ya kuwa miyoni mwenu mnajua ukweli ni upi!..Ndugu yang Kumbuka ipo siku utakutana na Mungu wako aliyekuumba hivyo bas usitetee uovu kana kwamba utaishi duniani milele!.
Bro siku hizi post zako na Makala zako unazopost sizielewag hata kidogo. Sijui umelishwa siku hizi nini hata sielewi,Au ni huo uwoga wa maisha unahofia kupotezwa[emoji2][emoji2][emoji2]Pascal Mayalla
Unachosema ni sahihi,na hayo ni mawazo yako inabid yaheshimiwe kwan una uhuru wa kutoa maon kadri uwezavyo,Lakin usiwahukumu walimu kwa fikra zako ulizonazo kwan Ushahid wa mawazo yako huna n sidhan kwamba Walimu wote wanaweza kufanya kitendo hicho ila huenda wapo baadhi ya wachache ambao sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.