Nenda tahiriwa ili heshima yako iongezeke mara dufu kwa mkeo wala usiulize ilikuwaje itakuwaje itakavyokuwa ni baada ya wewe kutoa uchafu na utajua ni uchafu baada ya kuutoa mm ninatanguliza kukupongeza hongera sana kijana kujitambua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu alichojenga hapo huyu ccm mwenzenu nyote ni mashahidi jinsi ccm walivyofurushwa na mchaka mchaka wa uchaguzi mkuu mpaka wakafika mahali kwa kutumia Dola wakawakamata mawakala wa Lowassa pamoja na kituo cha haki za binadamu kilichopo Mbezi siku mbili au tatu kabla ya kutangaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.