Recent content by Olympus

  1. O

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 20. Nahitaji kufanya biashara ya spare za pikipiki kwa jumla na rejareja

    Acha ujuaji umekuja kuomba ushauri ….nimejaribu kupitia reply zako naona una kaujua flan hv ambako kabla ya kuanza biashars inabidi ukaache or hutotoboa….sikiliza ushauri unaopewa kama unaona haufai basi nenda china na dola elfu nane zako tuone utaishia wapi
  2. O

    JamiiForums Tanzania Ninataka kufanya biashara ya kununua mchele Morogoro

    Asante mkuu kwa mwanza ni mbali sana kwangu considering kwamba nimeajiriwa
  3. O

    JamiiForums Tanzania Ninataka kufanya biashara ya kununua mchele Morogoro

    Asante sana kwa mrejesho wako
  4. O

    JamiiForums Tanzania Ninataka kufanya biashara ya kununua mchele Morogoro

    Ningependa kuanza biasahra ya kuuza zao la mchele. Source ambayo nimependa kuanzia ni Morogoro. Ningependa kuoata ABCs za wapi pa kuanzia kutoja kwa wale wazoefu. Natanguliza shukrani!
  5. O

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata Arabian sofa?

    Delivery ndan ya muda gani
  6. O

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop Inauzwa

    ......
  7. O

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop Inauzwa

    Yes ni removable
  8. O

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop Inauzwa

    Haikai na charge kama tangazo linavyosema
  9. O

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop Inauzwa

    If you are interested nichek kwenye namba yangu PS siuzochini ya 300
  10. O

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop Inauzwa

    Top kabisa laki 3
  11. O

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop Inauzwa

    4
  12. O

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop Inauzwa

    3
  13. O

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop Inauzwa

    2
  14. O

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop Inauzwa

    Back
Back
Top Bottom