Recent content by olyanu

  1. O

    JamiiForums Tanzania Dar, Kisutu: Kesi namba 112/2018 inayowakabili Viongozi Wakuu wa CHADEMA, inaendelea leo

    Kwa kuwa hakuna polisi aliyefunguliwa mashtaka kuna haja ya kesi kweli? C wawafunge tu tujue moja?
  2. O

    JamiiForums Tanzania Mama Kanumba asikitishwa na kitendo cha Lulu kutolewa jela. Asema "Siku zote maskini hana haki"

    Ushauri wangu kwa huyo mama ni kumshukuru Mungu kwa yote yaliyotokea. Atulie na kumwambia Mungu asante. Wenye nchi yao wameshaamua hata alie na kutoa machozi ya damu haisadii kitu. Afterall mwanaye alishakufa hata kama huyo binti angepigwa risasi bado mwanaye hawezi kurudi. Ameen
  3. O

    JamiiForums Tanzania Sakata mafuta ya kula: Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza bandarini na kukagua matanki ya mafuta

    Ni ya kushtukiza kweli? Hivyo vyombo vya habari vimetoka wapi? Au vinalala na kuamkia hapo whouse?
  4. O

    JamiiForums Tanzania POLISI: Marufuku kukohoa pale unapopishana na mwanamke mwenye makalio makubwa, hilo ni shambulio la aibu tutakukamata

    Huyo naye vipi? Ni rpc, dpc au zpc wa wapi rwanda au uganda?
  5. O

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mwandishi wa habari atekwa ateswa kisha kupigwa picha za uchi

    Kamuulize mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa atakuwa anajua
  6. O

    JamiiForums Tanzania "Kifungo cha nje" kwa "Lulu": Haki imetendeka au ni ‘Mockery of Justice’?

    Nchi tayari ilishaharibika mara tu baada ya watu wa mbasha walipokabidhiwa. Actually mimi siwalaumu wao ila ba mkwe atajibu kwa Mr. God
  7. O

    JamiiForums Tanzania Uchumi ukikua kwa 7.2% na kuwa wa pili kwa Afrika, Akiba Commercial Bank yaanza kupunguza wafanyakazi hali tete kihasara

    Unashangaa nini unapokutana na neno vi wonder?
  8. O

    JamiiForums Tanzania Kama Wabunge hawafanyi mikutano majimboni mwao, wanavyovizungumza Bungeni wanavitoa wapi?

    Pamoja na jibu lako zuri mwongezee na ujumbe huu kwamba akamuulize huyo aliyekataza hiyo mikutano
  9. O

    JamiiForums Tanzania Muigizaji Elizabeth Michael 'Lulu' abadilishiwa adhabu, sasa kutumikia kifungo cha nje

    Kabla ya 2020 tutakutana nayo mengi
  10. O

    JamiiForums Tanzania Rais na Mwenyekiti Dr. John P. Magufuli, umeionaje hali ya ofisi ndogo ya CCM Lumumba?

    Usiwe mbishi unapoelekezwa. Ours is that which deserves somebody with leadership qualities and not a kidtator. Pls
  11. O

    JamiiForums Tanzania Muigizaji Elizabeth Michael 'Lulu' abadilishiwa adhabu, sasa kutumikia kifungo cha nje

    This is only applicable in bongo land
  12. O

    JamiiForums Tanzania Serikali yazidi kuboresha maisha ya Watanzania

    Hahaha uchumi wako uko makuyuni
  13. O

    JamiiForums Tanzania Polepole, Ati Mbeya ina ukabila, hapa umekanushwa!

    Unataka kuwaaminisha watu kuwa amejipachika kama dab?
  14. O

    JamiiForums Tanzania Nitapataje incubator inayotumia mafuta ya taa?

    Sido zipo kumbe? Asante sana ndugu
  15. O

    JamiiForums Tanzania Nitapataje incubator inayotumia mafuta ya taa?

    Tena ukijibiwa nakuomba uweke wazi na mie ninaihitaji hata kama ni ya umeme
Back
Top Bottom