Recent content by Olumolongez

  1. Olumolongez

    Rais Magufuli, unateua kwa lengo la kupambana na wapinzani au kuleta maendeleo?

    Hawana akili kabisa hawa,ofisi zao zimechoka mbaya lkn hilo wao hawalioni kazi kushika UKUTA tu
  2. Olumolongez

    Rais Magufuli, unateua kwa lengo la kupambana na wapinzani au kuleta maendeleo?

    2020 kwa mwenendo huu wa wapinzani wa UKUTA and the like watakua wamekwisha kabisa.
  3. Olumolongez

    Rais Magufuli, unateua kwa lengo la kupambana na wapinzani au kuleta maendeleo?

    Hizo hazirudi tena,sema ajenge nyingine tu.
  4. Olumolongez

    Ahadi ya miezi miwili kuhusu ajira imeisha, tunasubiria chenga ya pili

    Kama serikalini kulikua na wafanyakazi hewa 12,000 ajira zitakuwepo lkn ni baadae sana
  5. Olumolongez

    Kesi ya akina Masanja, nini Polisi wasichojua kuhusu sanaa na sinema?

    Jukumu la Ulinzi ni la kila mmoja si Polisi peke yao.
  6. Olumolongez

    Kesi ya akina Masanja, nini Polisi wasichojua kuhusu sanaa na sinema?

    Ingekua hawatumii akili wasingeweza kukulinda na wameaminiwa na watu wenye akili kuliko wewe na kama unadhani wewe una akili sana kua Polisi basi tukuone.
  7. Olumolongez

    Kesi ya akina Masanja, nini Polisi wasichojua kuhusu sanaa na sinema?

    Hata hiyo ikithibitika nayo ni uhalifu.
  8. Olumolongez

    Kesi ya akina Masanja, nini Polisi wasichojua kuhusu sanaa na sinema?

    Sasa wewe cinema unailinganisha na hali halisi?
  9. Olumolongez

    Ipi ni njia nzuri: Kujitawaza kwa kutumia Maji au Toilet Paper/tissue paper?

    Huyu mtoa mada ame assume kua factors zote ziko constant na anatakiwa ajibiwe kwa mtazamo huo huo ili kumsaidia.
  10. Olumolongez

    Ipi ni njia nzuri: Kujitawaza kwa kutumia Maji au Toilet Paper/tissue paper?

    Hilo karatasi unakua kama unasuka rasta vile.Maji ni bora kuliko karatasi kama mazingira ni rafiki kwa maana kua baada kutawadha kuwe na sink linalotoa maji na sabuni iwepo ili unawe vizuri mikono yako.
  11. Olumolongez

    Umri wa mtoto kuanza kutembea

    Huyo mtoto tafuta pia kampani ya watoto wenzake ili wamchangamshe
Back
Top Bottom