Recent content by OLS

  1. OLS

    Ushauri wangu kwa Waziri Paul Makonda ili kuifanya Tanzania ing'are kwenye vyombo vya kimataifa

    Waziri wa Habari, Paulo Makonda ameonesha nia nzuri ya kutaka Tanzania ifahamike kimataifa. Hata hivyo utaratibu aliouzungumza ili Tanzania iandikwe aljazeera, CNN na maeneo mengine ina walakini, na hapa nitoe mawazo yangu kwenye kutimiza hilo. Suala la sisi kuandikwa kimataifa halifanyiki sana...
  2. OLS

    PostGE2025 Kutishia kuwafungia META ni kujitisha

    Larry Madowo ameendelea kujichukulia point muhimu kwa sakata linaloendelea Tanzania. Hivi karibuni amewahoji META sababu za kufungia akaunti za Mange, Maria Sarungi na SATIVA ambapo wamesema wasingezifungia TCRA iliwaambia wangewazuia kuoperate Tanzania. Ushajiuliza kuzuia META ku-oparate...
  3. OLS

    Tuliifurahia squid game, ila kwenye maisha halisi sio rahisi

    Nilisikia hii series ikitamba sana na ikapata umaarufu mkubwa watu walipokuwa wanauawa kwenye game na kujishindia pesa nyingi. Tangu game ya kwanza mauaji yaliyokuwa yanafanyika hayakuwa justified lakini ile movie ilipata umaarufu mkubwa. Waliopenda game ile ni watu wengi ikiwemo watu wa haki za...
  4. OLS

    Tutaipata wapi trilion 16.02?

    Kuna shida kuu ya uchumi itatukumba, lazima tujipange sana
  5. OLS

    Tutaipata wapi trilion 16.02?

    Bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2025/26 imekadiria kutumia Tsh Trilioni 56.49 ambapo trilioni 16.02 inatokana na mikopo ya masharti nafuu na misaada. Hela hii ni 28% ya bajeti ya serikali. Aidha kwenye makadirio ya makusanyo ya fedha za ndani kunaweza kutokea shida katika kupata...
  6. OLS

    Economics 101: Laffer Curve

    Mchumi Arthur Laffer aliyezaliwa 1940, na kusoma katika vyuo vinavyosifika kwa uchumi kama Stanford na Yale, ambaye pia amehudumu kama Professor katika Chuo chenye shule nzuri ya Uchumi University of Chicago, alileta muonekano mzuri wa kuhusu kodi. Laffer anasema ukiwatoza watu sana kodi...
  7. OLS

    PostGE2025 Nyimbo za ushujaa wakati wa kuzika ni alama ya maumivu yasiyostahimilika, inahitajika dawa ya haraka

    Sikuandika kitu mara baada ya uchaguzi japo nilishuhudia kilichotokea. Kuna makosa kadhaa ambayo CCM wanayafanya ili ku-justify yaliyotokea niwaambie vijana wa CCM Mkae kimya maana mnajiharibia katika siasa za kimataifa. Na ninaamini wengi mnapenda kuja baadae kufanya siasa za kimataifa ili...
  8. OLS

    Natafakari maneno ya Jenerali Ulimwengu kwamba hii nchi inaugua

    Hivi karibuni kulikuwa namjadala pale Four Points ambapo wadau mbalimbali wasiasa walihudhuria kujadili masuala ya ukatili dhidi ya wanawake wakati wa uchaguzi. Katika watu waliokuwepo ni pamoja na msajili wa vyama vya siasa, na Jenerali Ulimwengu. Katika maoni mzee Ulimwengu aliongea wazi...
  9. OLS

    Wakileta hoja wanaitwa "wabishi", wakikaa kimya wanasema "hawawezi kujielezea"

    Ili watu wawe huru kutoa mawazo na hisia zao lazima mazingira yawe rafiki. Hata hivyo kuna wakati watu huwa na mazingira yasiyo rafiki kwa kuwa watu wanahitaji mawazo ya namna fulani au yanayosapoti tu. Wakija watu wenye mawazo tofauti hupewa jina la "wabishi". Neno ambalo lina maana ya kwamba...
  10. OLS

    Je wajua kwa nchi zilizoendelea, kukopa na kununua kwa fedha taslim gharama ni sawa?

    Bongo imekuja huduma ya kukopa simu kwa sasa ambapo simu hizo zinalipwa kwa siku. Hili suala la kulipa kwa siku lenyewe kwanza ni mtihani lakini pia gharama ya simu inaongezeka mara dufu. Hivyo anayekopa hakuna kitu anaepuka, maana kama unalipa 2100 kwa siku ujumlishe na hela ya kifurushi maana...
  11. OLS

    BoT kushinda award ya Global inclusion ni sahihi au ni uchawa wa kimataifa?

    Benki Kuu ya Tanzania imeshinda Global Award of Financial Inclusion. Ikumbukwe Tanzania sio nchi inayoongoza kwa unafuu wa Financial Inclusion tozo nyingi, na namna ambazo zinazidi kufanya watu wasipende kutumia namna za kidigitali za kutuma fedha. Haya mambo haya yananistaajabishaga sana basi...
  12. OLS

    Ukiagiza gari unatozwa tozo ya UKIMWI

    kwa mujibu wa sheria ya fedha 2025, serikali imeweka tozo ya UKIMWI ambayo nadhani ni matokeo ya USAID kuondoka na UKIMWI kuwa hauna fedha. Hii tozo ni kwa wanaoagiza magari na madini. Viwango ni kama kwenye jedwali lifuatalo.
  13. OLS

    GE2025 Uchaguzi wa Belarus 2020 unataka kuwa na ufanano na uchaguzi wa Tanzania 2025

    Rais wa Belarus, Alexander Lukashenko amekuwa madarakani tangu 1994. Katika Uchaguzi wa 2020 aliona kabisa angeweza kuondolewa madarakani kutokana na kukubalika kwa mpinzani wake Syarhei Tsikhanouski. Syarhei Tsikhanouski alikamatwa na kufungwa siku mbili baada ya kutangaza nia yake ya kugombea...
  14. OLS

    Ili tuendelee tunahitaji vitu vinne, Ardhi, Watu, Siasa safi na Uongozi Bora

    Mwalimu Nyerere alipokuwa analeta Ujamaa kwa watanzania, aliponda sana masuala ya kuchukua fedha za nje, na moja ye hotuba yake aliwaponda sana wanaotaka mishahara mikubwa kwamba hela tunapata wapi. Na hapa sisemi kwamba nakubaliana na falsafa ya Ujamaa, najaribu kuzungumzia masuala ya fedha...
  15. OLS

    GE2025 Baadhi ya wagombea urais hawaielewi Tanzania, wala hawajui mahitaji ya watanzania

    Naacha kuwasikiliza wagombea wote, wakipita na wapite.
Back
Top Bottom