Recent content by Olivier goetzl

  1. O

    Natafuta mchumba wa kike, umri kuanzia miaka 21

    Natafuta mchumba wa kike ambaye aliye ni muelewa awe maeneo ya Pwani hususani Dar es Salaam au Bagamoyo Mwenye upendo wa kweli umri wake uanzie miaka 21 na kuendelea dini awe mkristo itapendeza zaidi awe tayari kuja tuishi wote Bagamoyo. Kwa maelezo zaidi aje PM
Back
Top Bottom