Nakupa big up sana kwa message ya kuelimisha jamii hasa kwa wanaume. Jamani wanaume mkifata huo ushauri ndoa zenu zitadumu milele. Tatizo la wanaume akishakupata anajua kamaliza yote. Hajui kuwa wewe ni mwanadamu waweza kubadirika kwa kukosa yale mapenzi ya dhati. Jamani badirikeni muwapende...
Nakupa big up sana kwa message nzuri ya kuelimisha jamii. Kuna watu ambao hawajui majukumu yao juu ya wake zao au wapenzi wao. Akishakupata tu basi kamaliza. Jamani wanaume huyo ndugu kawasaidia sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.