Recent content by olimpio

  1. olimpio

    JamiiForums Tanzania Ubora wa mawasiliano nchini umeshuka sana, TCRA fanyeni kazi yenu

    Nimepitia ripoti ya robo ya pili ya mwaka ya mamlaka ya mawasiliano Tanzania nimeona TCRA wametujulisha kuhusu kushuka kwa ubora wa mawasiliano ya simu nchini lakini hawajasema wanafanya nini baada ya mawasiliano hayo ubora wake kushuka. Ripoti imekaa vizuri sana na hawajataka kuficha kitu...
  2. olimpio

    JamiiForums Tanzania Viashiria vya rushwa ICT commission na YAS - serikali ichunguze

    Tarehe 21 Feb ,ICT commission ilitoa tuzo muhimu tatu kwa kampuni ya YAS(zamani Tigo) Walishinda Tuzo tatu kama zilivyo hapa chini 1. Huduma Bora za Intaneti (Best Internet Service Provider) 2. Kampuni Bora ya Mawasiliano (Best Mobile Network Provider) 3. Mtumiaji Bora wa TEHAMA & Manufaa kwa...
  3. olimpio

    JamiiForums Tanzania Nashauri Tanzania ibadirishe jina lake

    Tanzania kabla ya muungano ilikua inaitwa Tanganyika na Zanzibar, lakini ni utaratibu wa kawaida nchi kubarisha majina yake kwa sababu mbali mbali moja ya sababu hizo hua ni zifuatazo 1.Ideological change ama kubadirika kwa mtazamo wa kisiasa Tanzania tuliwahi kujitambulisha kama nchi ya...
  4. olimpio

    JamiiForums Tanzania Kutaka kuiua eGA na kuipa tender NMB za TEHAMA inaaiwa kumtoa Nape

    kauli yake kuhusu uchaguzi kama inachangia anguko lake ni 0.001% sema utakua hufahamu mambo haya
  5. olimpio

    JamiiForums Tanzania Kutaka kuiua eGA na kuipa tender NMB za TEHAMA inaaiwa kumtoa Nape

    Mwaka mmoja na miezi yakutosha niliwahi kuwajulisha juu ya njama za kutaka kuua eGA, Watu kadhaa inadaiwa walikua nyuma ya carpet wakiandaa mikakati hio. Hivi karibuni inadaiwa watu hao walifikia 98% kuiua eGA, wazalendo wa Makumbusho wakaokoa jahazi dakika za jioni sana (Hongera sana kwao)...
  6. olimpio

    JamiiForums Tanzania Serikali iache double standard mitandao ya kijamii kuhusu maudhui ya ngono

    dunia imezunguka kamanda
  7. olimpio

    JamiiForums Tanzania Serikali iache double standard mitandao ya kijamii kuhusu maudhui ya ngono

    kamba ameshakimbia tayari kuyaangalia hahah
  8. olimpio

    JamiiForums Tanzania Serikali iache double standard mitandao ya kijamii kuhusu maudhui ya ngono

    Mwezi uliopita (May, 2024) kampuni inayomiliki mtandao wa kijamii X zamani Twitter, wametoa notice kuwa sasa ni rasmi maudhui ya kingono/ponographic contents, maudhui ya mapenzi ya jinsia moja yaan LGBTQ yameruhusiwa na watu wanaweza kuanza kujirekodi na kusambaza kwenye mtandao huo. Hoja yangu...
  9. olimpio

    JamiiForums Tanzania eGA inauawa rasmi?

    wanamsumbua sana mama, imagine NAPE ana access na nyaraka za nchi nzima kupitia mfumo wa e-office :D :D :D ,nchi inavuliwa nguo
  10. olimpio

    JamiiForums Tanzania eGA inauawa rasmi?

    hata kama ni mnufaika wa mfumo ,eGA ni chombo ambacho kilikua kimebaba ndoto kubwa sana za usalama wa kitehama nchini ,wapigaji wangeweza kupiga pesa bila kuua eGA , kuua eGA ni hatari sana
  11. olimpio

    JamiiForums Tanzania eGA inauawa rasmi?

    State has been captured , wahuni wana run show
  12. olimpio

    JamiiForums Tanzania eGA inauawa rasmi?

    Idara ya usalama wa nchi hii ni idara ya usalama wa wanasiasa na sio wa nchi period , wapo gizani kama enzi za mkwawa
  13. olimpio

    JamiiForums Tanzania eGA inauawa rasmi?

    Uko usingizini huwezi kunielewa
  14. olimpio

    JamiiForums Tanzania eGA inauawa rasmi?

    ts a done deal ,na mbaya sana hawana hata aibu
  15. olimpio

    JamiiForums Tanzania eGA inauawa rasmi?

    JPM alishtuka sana , wahuni wame overtake sasa imagine eGA inamwenda kuzuiwa kufanya development na kazi hizo wanapewa wakandarasi wa nje
Back
Top Bottom