Recent content by OLIKOBO JR

  1. O

    Prof. Kabudi aieleza Jumuiya ya Kimataifa kuwa Tanzania haijawahi kushindwa vita ya aina yoyote

    Hayo mawazo yake ila ajue £ 27 milioni mpunga wa watu unahitajika mapema tu
  2. O

    Kwa ajili ya kumbukumbu: Magufuli hatojiongezea muda

    kiti cha uraisi ni kitamu sana kwa dalili zinavyoonekana ataongeza muda tu maana wale anaokulanao mema ya nchi watamushauri sana aendelee
  3. O

    IGP Sirro: Polisi hatuna taarifa kuwa Tundu Lissu ametishiwa kuuawa

    Hana taarifa za Lisu kukimbilia ubalozini wakati alituma polisi wamukamate ubalozini yana mwisho.
  4. O

    Lissu: Naishi kwenye makazi ya balozi(Ujerumani) kwa sababu maisha yangu hayako salama, nitarejea Ubelgiji

    Kuna wengine wanajiona wana hati miliki ya nchi hii na niwabinafsi sana wakidhani wataishi milele na hivyo vyeo pole kamanda Lissu yana mwisho tu
  5. O

    Askofu Mwamakula: Tundu Lissu aomba hifadhi Ubalozi wa Ujerumani baada ya vitisho vya uhai wake

    kamanda Lisu tunakuombea mungu yupo pamoja na ww hao watakutisha lkn hawatashinda
  6. O

    Kama umeingia madarakani kwa dhuluma na ghilba, huwezi kufika 2025

    kama umeiba kama umeiba na unakula na kukalia kiti husichositahili mungu awaadhibu hao
  7. O

    GE2020 Hafla ya kuapishwa Dkt. John Magufuli kuendelea na Awamu ya Pili ya Urais wa JMT uwanja wa Jamhuri, Dodoma 05 Oct 2020

    unafukuza wenye vyeti feki alafu unapata uongozi kwa kura feki hakika tungeishi milele hapa duniani tungetesana sana ila tunapita tu vyote vina mwisho
  8. O

    Lazaro Mambosasa aondolewe Dar es Salaam

    yes si kila polisi anawez kuwa kamanda wa dar
  9. O

    GE2020 Mtu timamu hawezi kushangilia matokeo haya

    Ni aibu sana kilichofanywa na tume haiwezekani nyaraka nyeti zipatikane mtaani
  10. O

    GE2020 Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti

    Kamanda Lissu tunakuombea yana mwisho
  11. O

    GE2020 Polepole: CHADEMA walichapisha kura feki ili kuvuruga Uchaguzi Mkuu

    slow slow anatetea tumbo lake na jamaa slow slow anatetea tumbo lake na jamaa zake
  12. O

    Polepole aache kuongea ongea, anaboa

    Slow slow anatetea tumbo lake
  13. O

    Polepole aache kuongea ongea, anaboa

    Alafu Alafu utawakuta mbele ya madhabau
  14. O

    GE2020 Tanzania ya baada ya Uchaguzi: Taifa lililogawanyika

    Consequence za uchaguzi huu utatugusa wote pamoja na wale wanaoshangilia
Back
Top Bottom