Hahahaaaaa nyie magamba tulieni mbona chupi zinawabana bado mapema sana? Naona mnajitahid kututoa kwenye reli ila mshashindwa UKAWA ni mpango wa Mungu hukumu yenu oct.
wakuu muda mfupi ulopita AG mtarajiwa (lissu) katoka kuwasilisha maoni ya kambi ya upinza na kawachana mbaya mbovu magamba na prof wao wa kichina ila sijaskia mtu anaomba muongozo wala kutoa taarifa wote kimyaaa wakat co kawaida yao..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.