Recent content by Olemillya

  1. O

    James Ole Millya na mkakati wa kuidhoofisha CHADEMA Arusha huu hapa

    Nimeisoma habari hii kwa umakini mkubwa na mwenyekiti wangu wa Bavicha Mkoa wa Manyara na Katibu wa Wilaya ya Simanjiro mh Frank Oleleshwa amejitahidi kueleza ukweli. Huyu aliandika hapa kweli alitumwa na ametumwa na mahasimu wangu kisiasa ambao mimi naamini wapo ccm na wanachotaka kufanya...
  2. O

    Kila la kheri kamanda Oleleshwa ktk safari yako BAVICHA

    Niwaombe wanachadema popote pale mlipo msikubali kuchonganishwa na hawa magamba, yeyote mwenye nia ya kugombea nafasi yeyote ya na agombee bila kumkashifu mwenzie ama kumpiga vita, kwa kuwa malengo yetu kwa pamoja ni kuhakikisha tunawaondoa hawa wakoloni weusi madarakani
  3. O

    Kila la kheri kamanda Oleleshwa ktk safari yako BAVICHA

    Mwenzako anaeleza misukosuko aliyoipata kaitetetea chama
  4. O

    Kila la kheri kamanda Oleleshwa ktk safari yako BAVICHA

    Kila la kheri kamanda wetu Oleleshwa katika safari yako ya kufikia ndoto yako ya kushika nafasi ya juu kabisa ndani ya BAVICHA, binafsi sina mashaka na Uwezo wako, kikubwa mi nakuombea mungu Katibu. Mimi Frank Mepukori Oleleshwa Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Simanjiro Mkoa wa...
  5. O

    James Ole Milya CHADEMA ni mtetezi wa wanyonge au Mnyang'anyi wa wanyonge?

    Mods Mbona hii story ya Uzushi wa kutungwa inamda mrefu ipo humu? nilishalitolea ufafanuzi hili kwanini bado ipo huku?
  6. O

    Hotuba ya Lema Bungeni - Mei 15, 2014

    naanza kupata wasiwasi kuwa TBCCM itakata matangazo yake pindi kamanda Lema atakavyoanza tu kuwasilisha maoni ya kambi rasmi ya Upinzani Bungeni, naandika hivyo baada ya kuona TBCCM imeanza kuugua Dengue mda huu....
  7. O

    Hotuba ya Lema Bungeni - Mei 15, 2014

    TBC wanaanza kuonesha dalili kuwa hawatamuonyesha mh Lema naona matangazo yaanza kukatika mda huu Chikawe akiwa anahutubia ikifika kwa Lema itakatika kabisa hii tbccm bhana!
  8. O

    Rose Kamili akamatwa na Polisi kwa kugawa rushwa Kalenga!

    KUHUSU UPOTOSHAJI UNAOFANYWA NA MACCM HUKU MTANDAONI KUHUSU ROSE KAMILI Mbunge wa Viti Maalum, Rose Kamili alikuwa akifanya kikao cha ndani Kijiji cha Kitawaya, Kata ya Luhota, ghafla yeye pamoja name makamanda wengine wanawake aliokuwa nao pamoja wakazingirwa na kikosi cha Green Guard...
  9. O

    Rose Kamili akamatwa na Polisi kwa kugawa rushwa Kalenga!

    KUHUSU UPOTOSHAJI UNAOFANYWA NA MACCM HUKU MTANDAONI KUHUSU ROSE KAMILI Mbunge wa Viti Maalum, Rose Kamili alikuwa akifanya kikao cha ndani Kijiji cha Kitawaya, Kata ya Luhota, ghafla yeye pamoja name makamanda wengine wanawake aliokuwa nao pamoja wakazingirwa na kikosi cha Green Guard...
  10. O

    Rose Kamili akamatwa na Polisi kwa kugawa rushwa Kalenga!

    BreakingNews: Read Brigade ya Chadema yakamata gari la ccm lenye kura FEKI Read Brigade ya Chadema yakamata gari linaloaminika lina kura feki jioni hii Kalenga, Good job vijana! Wakati huo huo Kwa kile kilichoonekana kuegemea doctrine ya Rais Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM kuwa...
  11. O

    Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Mungu akaufanya moyo wa Farao kuwa mgumu ili wana wa Izrael wapete ukombozi.............. Hivyo hivyo Mungu ataufanya moyo wa Kikwete kuwa Mgumu ili wana Tanzania wapate ukombozi. Atukuzwe sana mungu muumba mbingu na Nchi hakika neno lako litasimama..............
  12. O

    Naipongeza Kamati kuu ya Chama changu na wanachalinze kumpitisha Mathayo Torongei. By Olemilllya.

    Wakati mwingine si vema kubishana na vichaa kama nyinyi, lakini hata kama tulifukuzwa ccm na Bananga Basi walitusaidia, kama hujui Bananga alivyokuwa CCM aligombea udiwani Sombetini mara tatu ndani ya CCM na hakufanikiwa, amejiunga na Chadema tu akagombea na akashinda, unadhani angefanikiwa kama...
  13. O

    Naipongeza Kamati kuu ya Chama changu na wanachalinze kumpitisha Mathayo Torongei. By Olemilllya.

    Nahisi utakuwa umenifananisha mkuu mimi sijafukuzwa CCM nilijiondoa mwenyewe kwa hiari yyangu na kuungana na Jeshi la Ukombozi, Sijawahi na sitawahi kujutia uwamuzi wangu huo!
Back
Top Bottom