Recent content by Olecranon

  1. O

    Fahamu kuhusu matumizi ya OverDrive (OD) kwenye gari automatic

    Overdrive inatakiwa kuwa off kwa kawaida . Kwa wale wanaoishi kwenye Theluji wanatakiwa waweke overdrive on ili kukabili utelezi. Overdrive ikiwa off gari yako ina ingia gia ndogo haraka badala ya kuchambua Gia moja baada ya nyingine hadi kuingia namba 4 au 5. Inasaidia mafuta pia. Huna sababu...
  2. O

    Warioba: Wananchi tunaowaita Wanyonge ndio wenye nchi, Katiba ni kipaumbele hata kwenye marekebisho Bungeni

    Kila zama na nyakati zake. Ni muda muafaka wa katiba mpya na hilo kila mtu analiona hata waliokuwa viongozi kipindi cha nyuma. Hivyo Warioba ana haki ya kusema kuna umuhimu wa katiba mpya sasa. Hili halikwepeki.
  3. O

    Hospitali ya Bugando yakumbwa na upungufu wa mitungi ya Oksijeni kwa Wagonjwa wa Kupumua

    Wewe jamaa ni mjinga sana. Kabla hujaandika jaribu kufikiria kidogo na sio kuandika kwa ushabiki tu. Serikali ina hela imetoa wapi? Hiyo ni hela yetu wananchi na ni lazima ituhudumie kwanza kabla ya kwenda kujenga masanamu yasiyo na maana yoyote. Wananchi wanakufa kwa kukosa oxygen na wana hela...
  4. O

    Dkt. Kigwangalla: Serikali haimsaliti Rais aliyepita kuhusu Nyungu

    Uongo wa hali ya juu. Jaribu kutafuta muda ujisomee ili usiaibishe proffession ya udakitari!
  5. O

    Rais Mwinyi wa Zanzibar naye atakuwa anamuachia Mama awe anaenda Safari zake kama Mama afanyavyo Kwake?

    Huu ni mfano dhahiri kuwa nchi bado inaongozwa bila kufuata kanuni tulizojiwekea na ni msisitizo kuwa bila katiba mpya tunaweza kurudi tulikotoka.
  6. O

    Napendekeza Magufuli awe Rais wa maisha, tufute vyama vingi

    Acha tu nisi comment ila nadhani utanielewa!!
  7. O

    Serikali iwe makini, isikurupuke kurudisha mtandao wa intaneti

    Umeuliza maswali mazuri sana. Serikali ina evisa ya watalii na pia epassport application vyote vinahitaji internet. Ni jambo la kusikitisha na kushangaza Karne ya 21 watu wananyimwa internet as means ya kuwa control. Itakuwa ngumu sana kuendesha shughuli za maendeleo bila internet. We are DOOMED !
  8. O

    GE2020 Lindi: Majengo ya Serikali yachomwa, magari yaharibiwa kisa Uchaguzi

    Subiri uone picha kwani hili linawezekana ni propaganda.
  9. O

    GE2020 Nawaonea huruma madiwani na wabunge waliopitishwa kwa tiketi ya CCM

    Usiharibu maana ya sayansi. Akija kukuibia mtu akaondoka na TV yako utasema katumia sayansi? Think!
  10. O

    GE2020 Tundu Lissu hawezi kushinda Uchaguzi wa 2020, Dkt. Magufuli ana nafasi kubwa ya kushinda

    Ningekuwa mimi ni wewe ningetaka Lissu ashinde kwani sera zake za elimu zitakusaidia kupata ujuzi wa lugha ya malikia. Your English is terribly terrible!!
  11. O

    GE2020 Membe: Naufahamu uwezo wa Lissu, nitahakikisha anapata kazi kwenye serikali yangu

    Kama ni kweli amesema haya basi kuna uwezekano mkubwa ni case ya bipolar na atahitaji kuonana na wataalamu wa gonjwa la akili.
  12. O

    Balozi wa Marekani akutana na Katibu mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Lumumba jijini Dar es Salaam

    Alianza wa NCCR akafuatia Maalim halafu Tundu kwenda kwa balozi kwa mwaliko. Ni kibaraka gani kati ya hao unayemsema? Think!
  13. O

    GE2020 Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii ya T 2020 JPM?

    Hii ni udhibitisho wa kukosa umakini katika utendaji labda kwa sababu ya woga. Lazima mamlaka ya juu itakuwa imependezwa na hizo namba na hivyo haijalishi madhara
  14. O

    GE2020 Upotoshaji wa makusudi dhidi ya Tundu Lissu

    To add on that Lucky Dube's song says: it takes a million people to build up a reputation but it takes one stupid fool to bring it down.
Back
Top Bottom