Recent content by Olduvai Gorge

  1. O

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku : CHADEMA Wanafadhiliwa na "Mabeberu "

    Huyu mzee ni wahovyo tena saana kabisa! Aliitumia imani ya Watanzania kwa Baba wa taifa kwa maslahi binafsi kabisa! Anacho kufanya, anajua ni uongo anasema, lkn anausema iki kujaribu kufukia damu za vijana zilizo mwagika Mo29! Mzee kumbuka, kiasili wewe haupo mbali na safari ya kwenda kukutana...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Dr Chimbi amechafua hali ya hewa, inawezekana alisha kuwa kwenye nyoyo za Watanganyika

    Mara par, Nchimbi akajiunga Chadema!
  3. O

    JamiiForums Tanzania John Heche: AFCON na FIFA waliitenga S.Africa sasa ni zamu ya Tanzania

    Sani katangaza ugaidi?
  4. O

    JamiiForums Tanzania John Heche inatakiwa akamatwe na kuunganishwa kwenye kesi za Lissu kwa kauli zake zilizochochea vurugu za uchaguzi

    Ungejua wenzako wanavyo kutia kumkamata Lissu na sasa hawajui wafanye!
  5. O

    JamiiForums Tanzania Jafo: Tusikubali nchi ikaharibika mikononi mwetu

    Huyu ndiye aliyesimamia uchaguzi wa 2019, akakata wapinzani wote na kunyima haki ya waTz kuchagua viongozi wao, anauliza amani gani?
  6. O

    JamiiForums Tanzania Makonda: Tumewasilisha ombi Content Creators walipwe zaidi

    Viongozi kama hawa wanatupeleka shimoni! Wakati dunia inapambana na kukamata technologia, ili kugundua ndege za kivita zisizoonekana ktk Rada, sisi tunawawezesha vijana wawe machawa waisifue CCM! Tukija kuamka makaa ya mawe na dhahabu zetu zote zipo China, na sisi hatuna kitu!
  7. O

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Wanaokaa vikao kwamba huyu tumfanyeje, niwaambie hamnifanyi kitu. Utotoni nishahangaika na simba na chui na hawakunifanya kitu

    Watu walio pambana na Simba na chui huwa wanauwezo mkubwa wa kufikiri na busara nyingi! Huwa si watu wa maneno mengi badala ya mipango na mikakati3!
  8. O

    JamiiForums Tanzania Kwanini mashahidi wote katika kesi ya Lissu ni wakiristo?

    Wakristo diyo dhehebu lisilo na hofu ya Mungu ukilinganisha na Waislamu!
  9. O

    JamiiForums Tanzania Swali Korofishi: Kweli mwenye risasi ndiye gangwe zaidi?

    Kstka dunia, wakoloni walitawala kwa sababu walikuwa na risasi! Marekani anaamua chochote kwakuwa ndiye anayemiliki teknologia ya juu zaidi ya kivita! Ethiopia haikutawaliwa kwasababu ilikuwa na matumizi ya baruti, ikawa vigumu kwa Wazungu kuwatawala!
  10. O

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Samia hata haeleweki. Ana waya waya tu hajui hata la kusema matamko matatu tatanifu

    Kuna mtu alimdanganya kwamba Watanzania hasa Watanganyika ni wajinga sana, hawaelewi chochote! Ibuka watu walipodai katiba. Pia akasema wa5anzania wasomeshwe kwanza katiba waielewe, kwani hawaielewi! Ndo inaishia hapo!
  11. O

    JamiiForums Tanzania GE2025 Unadhani ahadi hii ya kuundwa kwa Tume ya Maridhiano itatekelezwa?

    Kama ccm watataka katiba mpya! H. Polepole atakuws na mchango wa asilimia 70! Baada ya kuueleza umma jinsi ccm mtandao wanavyo it's finally nchi, ccm ndo wanezinduka kwamba katiba ya sasa inalinda mambo haya! Bila polepole ccm walidhani kwamba katiba ni kwaanili ya Chadema kishinda
  12. O

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

    Nyinyi ni Hadi mtakapo hukumiwa kunyongwa nfo mtajua! Ushshidi gani tena unahitajika hapo?
  13. O

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole, Asante kwa ukweli wako kuhusu kiini macho cha Uchaguzi. Hoja ya tusishiriki, haina tija tena na Uchaguzi Upo!

    We baba hebu tulia nyumbani ulee wajukuu! Polepole ni shuhuds muhimu sana toka nchi hii ianzishwe! Weye siyo mwelewa kumbe. Hujui hicho alicho kidhibitisha Polepole ndilo chimbuko LA maumivu yote Taifa tunalo yapitia? Kwamba watu wanatekwa, wanauliwa lkn watawala hawajali sababu CCM imeunga...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Godless Lema: Nilikuwa nadhani namjua Tundu Lissu, kumbe HAPANA, nilikuwa sijamjua vizuri. Sasa nimemjua huyu jamaa

    Huyo. Msamehe tu, no miongoni mwa wasio ma ubongo! Hajui madeni tunayoyalipa kupitia Tozo2 mengine ndo hayo ya MEGA!
Back
Top Bottom