Hapo ndo patamu kuna ID hapa zinataka Lowasa akamatwe ahukumiwe kwa ufisad kama kitu kidogo tu hiki cha kuondolewa mlinzi na inawezekana kapewa mwingine watu wanalalamika hivi itakuwaje siku Dr. Atakapozishikilia mali za huyu mzee wa Kuchunga?????
Umekomaa na Mpanju balaa lakin kumbuka kila zimwi na mbuyu wake Rais n binadamu kama wewe so hawez kutenda akamridhisha kila mtu. So upendeleo kwa mwanadamu n kawaida sana mkuu usihof kuhusu hilo na nna kusihi acha kulalamika sana malalamiko hayaleti maendeleo kilichobaki n kumuombea afanye kaz...
Binadamu hatueleweki sana endapo Dr. Magifuli atatumbua hilo jipu la Lowas watu hawa wanaopenda litumbuliwe watakuja na maneno ya kisema analipiza kisas. Hata kama alihusika namshauri Dr. Aachane na huyooo mtu apige kaz tu kwa kufocus sehem zingine hozo za Lowasa zitakaa poa soon
Kama busara bas Kingunge aingehama CCM na wengine wote wenye busara hawakuhama CCM walikubali chama kifie mikononi mwao kwa kuwa ndio waliokifikisha hapa chama hiki.
Kama busara zote za wazee wetu waliotangulia hazijazaa matunda sasa ni zamu ya wasio na busara waongoze nchi. Kama walivyosema...
Naheshimu mawazo yako lakin tambua hakuna sehem ndogo kuliko nyingine na kila sehem n tofauti na nyinge huwez kusema mefanya kazi kwa mfano bank NMB na ukaendaCRDB ukawa vizuri haipo hiyo. Watu wote tupo sawa ktk nyadhifa mbalimbali so usihof kukaa kwake pale atapata uzoef hatareee na atafanya...
Ingefaa zaid ukaweka reference ya nchi zingine angalau mbili kusud uweze ku argue vizur na sio kuleta opinion zako mkuu. Kama haya n mawZo yako kwann uyapuuze ya mwingine??? Au ww unataka uongoze nchi???? Nafikiri tuwe na subira ya kukubali mawazo ya mwingine na kuyapokea na kuyaheshimu vema...
Sioni sababu ya kumfungulia mashtaka Rais tu hapa ilibid tuanze na wale waliothibitisha kwa ndimi zao wenyewe kwamba hawakufanya kazi katik vipind walivopewa nyadhifa za kufanya kazi na serikali waliyoitumikia.
Kipind cha kampeni tumeshuhudia waziri mkuu mstaafu akikiri kwa kinywa chake...
Kuwa mwanachama haisaidiiii subiri Mbowe aje na pendekezo lake akiwa ni yeye sawa lakin kuna tetesi anaweza akawa Sumaye ambaye anauzoef zaid ya Albanie so tusubiri kidogo tu maana naskia na Lowasa naye anatajwa sana ndo maana alitaka kuanza harakati mapema kuzunguka mikoani.
Kwa kauli yake yupo sahihi napata maana yangu ni kwamba mwalimu mkuu asimruhusu mwanafunzi asiyejua kusoma kuingia darasa la tatu. Mwanafunzi ataingia std 3 kwa kufaulu kkk hizo hivo mwalimu mkuu simamie hilo tu. Endapo mwanafunzi atakua la pili na hajui kusoma mwalimu mkuu hatafukuzwa atakua...
Hakika haipendezi kwann zije leo???? Maana hizo picha tulishaziona anazirejesha leo kusud iweje??? Sio mbaya lakin aendelee kuziweka ili auze gazeti maana saiz habar hazipo tena maana Dr. Anatumbua tu
Nilitegemea kuona wanasheria tofauti tofaut. Ungewachukua hata wanasheria wa vyama vingine wazungumzie swala hilo. We need to understand one thing every side will defend accordingly so as to prove it is or was not their or his or her fault. Naomba mleta mada jaribu ku consult and other lawyers...
Umenifurahisha kama ni wizara ya ujenzi bas ni Choo peke yake ndo wizara unayoweza kuwa. Kwanza unajificha hujiamini kama kweli weka full name yako hapo na details za kazi yako. Tutumie akili kidogo kama aliweza kusema ccm si nama wala baba yake the same to chadema ukawa it will happen so get...
Ni sahihi mkuu absolutely 100% na kuzid kumuongelea inampa sifa sana na anaonekana ni mtu mwenye ushawish sana. Kwa upande wangu nayakubali mawazo ya mwalimu JK ili tuweze kuendelea tunahitaji SIASA SAFI NA UONGOZI BORA NA SIO BORA UONGOZI KAMA WA UKAWA eti ili msigombane bas tuchangiane vyama...
Napenda tujikumbushe kidogo kipind cha bunge maalum la katiba Tulishudia Prof. Issa Shivji akipingana na kile alichomfundisha mwanafunzi wake wa sheria Tundu Lissu. Lisu alishangaa sana kwann Prof anapingana na kile alichokifundisha darasani. Sina hakika sana na imani ya Lissu leo hii kwa Prof...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.