Recent content by Oko_jr

  1. O

    JamiiForums Tanzania Je inafaa mtaji wa sh. ngapi kufungua biashara ya phone accessories?

    Kama ni jumla usi tegemee faida kubwa kwenye bidhaa, kinacho angaliwa ni mzunguko wa mzigo, kuna vifaa vya simu vingine faida yake ni TSH 100, So ukiweka bei kubwa tegemea kukimbiwa na wateja, KKOO ni sehemu ambayo taarifa ya bei za bidhaa zina sambaa kwa uharaka sana,so upinzani ni mkali sana
  2. O

    JamiiForums Tanzania Je inafaa mtaji wa sh. ngapi kufungua biashara ya phone accessories?

    Plan yako ni kuwa una uza jumla au Reja reja?
  3. O

    JamiiForums Tanzania Je inafaa mtaji wa sh. ngapi kufungua biashara ya phone accessories?

    Kama ni bidhaa za Oraimo pambana ukutane nao wenyewe,Kariakoo pale wengi ni Distributors
  4. O

    JamiiForums Tanzania Je inafaa mtaji wa sh. ngapi kufungua biashara ya phone accessories?

    nazan ni 7000 mpaka 7500 bei ya jumla
  5. O

    JamiiForums Tanzania Je inafaa mtaji wa sh. ngapi kufungua biashara ya phone accessories?

    Laki 7 Mkuu kama unayo zaidi ni njema pia,nyingine unaweza ongezea kulingana na mahitaji na maoni ya Wateja wako
  6. O

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimemaliza chuo, nina mtaji wa 2M. Naweza kufanya biashara gani?

    Chagua kati ya Car Accessories au Phone Accessories fanya kimoja wapo utakuja kunishukuru, Fanya survey Bagamoyo Road,mwendokasi una jengwa ile njia,soon kutakuwa kama kimara Asante
  7. O

    JamiiForums Tanzania Je inafaa mtaji wa sh. ngapi kufungua biashara ya phone accessories?

    Anzia angalau na TSH 700,000 Mkuu hii iwe ya mzigo tu,utakuwa ume gusa kila mahali, Covers -Sumsung,Techno,Infinix Protector Chargers aina zote na Brand zake USB Cables EARPHONES & Headphones OTGs HDMI Cables Battery za Viswaswadu Memory Card Flash Asante
  8. O

    JamiiForums Tanzania Sitaomba kazi tena, wacha niwe jeuri tu!!

    Hongera kwa kuji ajiri mkuu
Back
Top Bottom