Kwamba Tz imekuwa ya 10 haina maana kuwa hali ya Utawala bora nchini imeimarika. Kiukweli ni kuwa Hali ya sasa (ukiangalia mwenendo wa takwimu ni mbaya katika maeneo mengi kuliko ilivyokuwa 2006. Tafsiri ya taarifa hii ni kwamba hali ya Utawala Bora Afrika (ikiwemo Tz) inazorota. Kwa kuwa kwenye...
Tanzania imekuwa ya 10 kwa mara ya kwanza hili halina ubishi. Lakini ukilinganisha scores za 2006 na zile 2011 utaona kuwa kuna ukuaji hasi kwenye maeneo mengi. Tafsiri ni kwamba Tanzania ilipata marks nyingi mwaka 2006 kuliko ilivyopata mwaka 2011. Hali ni hiyo hiyo ukilinganisha performance ya...
Kwako Mh. Nchimbi,
Salaam! Natumaini umzima wa afya na unaendelea vema na shughuli zako za kuiongoza Wizara Nyeti ya Mambo ya Ndani ya Nchi ambayo Jeshi la Polisi liko chini yake. Mheshimiwa, inawezekana kabisa kuwa Dr. Slaa, Mnyika na Lema wamezusha madai kuwa kuna mpango wa kuwadhuru ambao...
Msitie hofu Makamanda. Maadui wa ukombozi wa kweli wa Mtanzania wanaweza kuuwa mwili tu lakini mbegu ya ukombozi wa fikra iliyokwisha pandwa kwenye vichwa vya WaTZ kamwe haiwezi kuuawa kwa kazi ya mikono ya binadamu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.