Recent content by Ojuolegbha

  1. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Algerian firm to invest in cashew nut factories in Tanzania

    Algerian firm to invest in cashew nut factories in Tanzania Algerian cashew nut processor, Sarl Anacard’Or cashew, is looking to expand its investment by establishing three factories in Tanzania in an endeavour to enhance profitability on the global market. Speaking to the Tanzanian...
  2. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Algeria kuwekeza viwanda vya korosho Tanzania

    Kampuni ya Algeria kuwekeza viwanda vya korosho Tanzania Kampuni ya ubanguaji wa korosho ya Sarl Anacard’Or ya Algeria inatarajia kutanua uwekezaji wake kwa kujenga viwanda vitatu nchini Tanzania ili kuongeza zaidi faida yake katika soko la dunia. Akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini...
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania KONGAMANO LA BIMA YA AFYA KWA WOTE

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete anawakaribisha katika Kongamano la Bima la Afya kwa wote, Mgeni rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Kanali Evans Mtambi Kongamano hili litafanyika Agosti 21, 2026 katika Hotel ya CMG, Tarime Mjini. ▪️Fursa kwa Makundi Maalum...
  4. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Mkuu: Watu wa majiji msichukue bidhaa za raia, Ndio Ofisi

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza Halmashauri zote Nchini Majiji kutochukuwa bidhaa halali za Wananchi ambao ni wafanyabiashara wadogo wanaojitafutia riziki zao Barabarani kulingana na mitaji yao hata kama wakikutwa na makosa ushughulikiwe utaratibu tu! na sio kuua mitaji yao midogo...
  5. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ujumbe wa Rais Samia kuhusu Maadhimisho ya Sikukuu ya Uhuru Desemba 9, 2025

    Ujumbe wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhusu Maadhimisho ya Sikukuu ya Uhuru.
  6. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo awasilisha taarifa ya Ufafanuzi kwa Kamati ya CMAG kufuatia maandamano ya tarehe 29 Oktoba 2025

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) amewasilisha taarifa ya ufafanuzi kwa Kamati ya Mawaziri wa Jumuiya ya Madola Wanaosimamia Utekelezaji wa Tunu za Jumuiya hiyo (Commonwealth Ministerial Action Group-CMAG) kufuatia vurugu...
  7. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Kombo akutana na Balozi wa India nchini Tanzania Bishwadip Dey

    Waziri Kombo akutana na Balozi wa India nchini Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa India nchini, Mhe. Bishwadip Dey, katika ofisi ndogo za Wizara, jijini Dar es Salaam, tarehe 06...
  8. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Kombo akutana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania

    Waziri Kombo akutana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Bw. Andrew Lentz katika ofisi ndogo za Wizara, jijini...
  9. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo aongoza kikao cha wizara mbili za Tanzania na Balozi wa China

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Kombo (Mb.) amefanya kikao kazi na Balozi wa China nchini, Mhe. Chen Mingjian pamoja na Wizara ya Ujenzi na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na ofisi ndogo za wizara jijini Dar es Salaam leo tarehe 6 Desemba 2025...
  10. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ashiriki siku ya Taifa ya Finland

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameshiriki hafla ya maadhimisho ya Miaka 108 ya Jamhuri ya Finland, iliyofanyika jijini Dar es Salaam tarehe 05 Desemba, 2025. Akizungumza katika hafla hiyo, Mhe. Kombo ameipongeza Finland kwa...
  11. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania nchini Malawi afanya ziara rasmi ya kikazi wilayani nyasa

    𝗕𝗔𝗟𝗢𝗭𝗜 𝗪𝗔 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 𝗡𝗖𝗛𝗜𝗡𝗜 𝗠𝗔𝗟𝗔𝗪𝗜 𝗔𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗭𝗜𝗔𝗥𝗔 𝗥𝗔𝗦𝗠𝗜 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗞𝗔𝗭𝗜 𝗪𝗜𝗟𝗔𝗬𝗔𝗡𝗜 𝗡𝗬𝗔𝗦𝗔 𝗡𝗮 𝗕𝘆𝗮𝗿𝘂𝗴𝗮𝗯𝗮 𝗜𝗻𝗻𝗼𝗰𝗲𝗻𝘁, 𝗡𝘆𝗮𝘀𝗮 Balozi wa Tanzania nchini Malawi Mhe. Agnes Richard Kayola amefanya ziara rasmi ya Kikazi Wilayani Nyasa kwa lengo la kuona fursa za uwekezaji,raslimali zilizopo na kukiri kuwa iwapo...
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi asisitiza umuhimu wa kulinda mazingira na muungano

    𝗧𝗔𝗔𝗥𝗜𝗙𝗔 𝗞𝗪𝗔 𝗩𝗬𝗢𝗠𝗕𝗢 𝗩𝗬𝗔 𝗛𝗔𝗕𝗔𝗥𝗜 𝗠𝗔𝗞𝗔𝗠𝗨 𝗪𝗔 𝗥𝗔𝗜𝗦 𝗔𝗦𝗜𝗦𝗜𝗧𝗜𝗭𝗔 𝗨𝗠𝗨𝗛𝗜𝗠𝗨 𝗪𝗔 𝗞𝗨𝗟𝗜𝗡𝗗𝗔 𝗠𝗔𝗭𝗜𝗡𝗚𝗜𝗥𝗔 𝗡𝗔 𝗠𝗨𝗨𝗡𝗚𝗔𝗡𝗢 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasihi watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira kufanya kazi kwa weledi kwa kuzingatia...
  13. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Makamu wa Rais Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akitembelea na kukagua jengo la Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akitembelea na kukagua jengo la Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira linalojengwa katika Mji wa Serikali Mtumba mkoani Dodoma na kuzungumza na watumishi wa Ofisi.
  14. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania RC Arusha apokea ujumbe wa Mabunge Duniani (IPU)

    𝗥𝗖 𝗔𝗥𝗨𝗦𝗛𝗔 𝗔𝗣𝗢𝗞𝗘𝗔 𝗨𝗝𝗨𝗠𝗕𝗘 𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗕𝗨𝗡𝗚𝗘 𝗗𝗨𝗡𝗜𝗔𝗡𝗜 (𝗜𝗣𝗨) ▪️Kufanya Mkutano wa Mabunge Mkoani Arusha ▪️Wajumbe zaidi ya 1500 kutoka nchi wanachama wa IPU kuhudhuria ▪️Rais Dkt. Samia apendekezwa kuwa Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. CPA. Amos Gabriel Makalla mapema leo Alhamisi Disemba 04...
  15. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania “Tuliapa kuilinda nchi hii…na tutailinda” - Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan

    “Tuliapa kuilinda nchi hii…na tutailinda” - Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
Back
Top Bottom