Nashukuru kwa michango wadau. Nimehamishia CRDB mshahara wangu, nao NMB wanaendelea kupokea makato ya awali. Na ninajiandaa niuze deni hilo CRDB ili lile deni lijikusanye wakati nilipofukuzwa kazi nipate kulilipa.
Nikiwa kama mtumishi wa umma nilikopa NMB bank lakini kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu nikafukuzwa kazi, hivyo marejesho bank mwajiri akawa hapeleki.
Baada ya miezi nane kutokana na mambo ya rufaa nikafanikiwa kurejeshwa kazini na mwajiri kuamliwa kulipa mishahara yangu wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.