*MADA*
Daniel, ni kijana mwenye umri wa miaka 34 alijaaliwa kumwoa Martha miaka minane iliyopita, na wamebarikiwa kupata watoto watatu wakiume mmoja na wa kike wawili.
Kwa kipindi cha miezi kumi hivi, Daniel amekuwa akinyimwa tendo la ndoa na mkewe. Mkewe alitoa sababu kuwa ana tatizo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.