mama endelea kutumbua usiache na kuchunguza hasara iliyisababishwa na Mkurugenzi huyu hapo bodi ya mkopo ili hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yake,jamaa katutesa Sana hasa sisi watoto Wa msikini
Mkurugenzi bodi ya mkopo ni jipu la muda mrefu alipaswa kuwa ametumbuliwa kitambo Sana,naanza kuamini Tanzania Mpya itapatikana chini ya serikali ya JPM
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.