Recent content by ogila

  1. O

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mtoto wa kiume

    Jamii za kiafrika Zina matarajio mengi kutoka kwa mtoto wa kiume. Mtoto wa kiume anategemewa kwa asilimia kubwa kulea familia, mke, watoto, wazazi na hata wajomba n k. Huyu huyu mtoto wa kiume ananyimwa fursa nyingi za elimu , ajira, n.k. fursa ambazo kwa kipindi hiki tunaona zikielekezwa zaidi...
Back
Top Bottom