Recent content by Oflam

  1. Oflam

    Msaada kuhusu hili suala la mbwa kuua mwizi na mmiliki wa mbwa kufunguliwa shtaka la mauaji

    Ni American Pitbull Mkuu Asante! pili tahadhari zote ziliwekwa vyema kabisa
  2. Oflam

    Msaada kuhusu hili suala la mbwa kuua mwizi na mmiliki wa mbwa kufunguliwa shtaka la mauaji

    all is possible mkuu! na inawezekana kabisa huyu mtu kuuwawa na mbwa hawo
  3. Oflam

    Msaada kuhusu hili suala la mbwa kuua mwizi na mmiliki wa mbwa kufunguliwa shtaka la mauaji

    American bloiler sio mbwa wamchezo mkuu wanaweza kabisa kutoa roho ya mtu na kumbuka piahawa mbwa hufundishwa.
  4. Oflam

    Msaada kuhusu hili suala la mbwa kuua mwizi na mmiliki wa mbwa kufunguliwa shtaka la mauaji

    Msaada tafadhali juu ya scenario hii! Kuna jamaa ana mji wake na katika mji huo ameweka ulinzi wa Mbwa hawa America Broiler pamoja na fensi, usiku kuna jamaa alienda kwa lengo la kuiba kwake alipofika eneo la tukio akaruka ukuta ili aweze kuingia ndani baada ya yeye kutua ndani akakutana na...
Back
Top Bottom