Huyo Fubusa amekuwepo na CV yake muda wote ambao Zitto alikuwa mbunge mbona hakuwa kupambana naye amesubiri Kabwe kaachia jimbo ndo anajipandisha kichwa. hana lolote. Ila kama ameamua kugombea is ok ila sio suala la kumlinganisha na Zitto
Kwa hili hawa jamaa ukomavu wa kisiasa ni sifuri
Wamesahau kuwa hata wao walipata ubunge kutokana na upepo wa chadema wa mwaka 2010 ambao ulitokana na juhudi za Zitto na viongozi wengine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.