Kwa waliofuatilia bunge jana jioni watakuwa wamesikia kilio cha wabunge wakidai mafisadi wanaojinufaisha kwa raslimali za Taifa hili wanyongwe tena ikiwezekana pole pole ili wasife haraka. Na mmoja akaomba wapigwe risasi hadharani!
Lililo kubwa zaidi ni pale Magamba walipotangaza rasmi 2015...
GT nawapongeza sana kwa michango yote! Willie, Kimbunga na wengine as vijana wapambanaji hatuna budi kukubali kwa sehemu kubwa jamii yetu iliharibiwa na wanasiasa! Ila kwa sasa na kwa kizazi chetu na cha sasa ni ngumu mno KWETU sisi vijana kukubali kila jambo! Ni kizazi kinachothubutu kuuliza...
GT nawapongeza sana kwa michango yote! Willie na wengine as vijana wapambanaji hatuna budi kukubali kwa sehemu kubwa tumeharibiwa na wanasiasa! Ila kwa kizazi cha sasa ni ngumu mno kukubali kila jambo! Ni kizazi kinachothubutu kuuliza why? Ni kizazi kinachoweza kuchambua mambo na kutambua fact...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.