Recent content by Odinga J

  1. O

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhari

    Je mahakama ya mwanzo hapa nchini zina uwezo wa kusikiliza shauri la mirathi ( probate and administration case) kwa mirathi inayohusu ardhi iliyosajiriwa( registered land)? Msaada wa kifungu cha sheria na maamuzi ya mahakama tafadhari kama ndio au hapana. Natanguliza shukrani
Back
Top Bottom