Recent content by odara2

  1. O

    JamiiForums Tanzania We want our Dr. Slaa back, Lowassa anaenda kutuzamisha

    Huna haja yakujikosha na kujidai wewe UKAWA tunajua unataka kuingia UKAWA ila unaona haya,unaweza kubaki huko huko na ukapigia kura kwa ukawa, sawa sawa?
  2. O

    JamiiForums Tanzania CCM tutulize vichwa, Lowassa ni tatizo tulilojitengenezea wenyewe, hakujitengeneza!

    Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu
  3. O

    JamiiForums Tanzania Kamanda Lowassa: CCM ni hodari kwa kuiba kura

    Mwaka wa miujiza ndio huu watu tumeanza na Mungu na tutamaliza na Mungu,wakiiba kura ili kuongeza za kwao watashangaa wanaiba za kwao na kuongeza idadi kwa UKAWA,
  4. O

    JamiiForums Tanzania Nukuu za mwalimu Nyerere

    Anayempinga LOWASA akapimwe akili kwanza
  5. O

    JamiiForums Tanzania Picha: Tofauti kati ya Magufuli na Lowassa wakati wa Uchukuaji wa Fomu za Urais

    Mm naona bora wamkabidhi mh LOWASA funguo za ikulu tu
  6. O

    JamiiForums Tanzania Udhaifu mkubwa wa Lowassa Mpya na yule wa Zamani, ni kukosa Ujasiri wa Kujibeba mwenyewe

    Eti hajiamini,Mimi nadhani hii ni dalili za kuchanganyikiwa,ila hata wewe unakaribishwa UKAWA usife kifo cha kupe anayeng'ang'ania ngozi ya ng'ombe aliyekwisha chinjwa
  7. O

    JamiiForums Tanzania Renatus Mkinga na Mtikila live Star TV: Suala la afya za wagombea laongelewa

    Moto hauzimwi kwa petroli,huko UKAWA walishamaliza kilakitu wananchi wanasubiri kupiga kura kwa mh.LOWASA
  8. O

    JamiiForums Tanzania Lowassa azungumzwa kwa sifa mbaya, wananchi wamuhofia

    Rais wetu mtarajiwa ni LOWASA
  9. O

    JamiiForums Tanzania Juhudi za CCM kumbeba Magufuli zimezidi kugonga Mwamba

    Tuna imani na LOWASA,huyu ndio chaguo la watanzania wote tuache unafiki
  10. O

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ahudhuria maonesho ya Nane Nane mkoani Lindi

    Kweli watanzania wamechoka,wanataka mabadiliko na wako tayari kabisa kwa mabadiliko,wanasubiri october
  11. O

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa kuchukua fomu ya Urais ofisi za NEC Jumatatu tarehe 10 Agosti, 2015

    Tuko pamoja,wanaharakati Wa ukombozi
  12. O

    JamiiForums Tanzania Mabati na mbao

    Sithole nimekuelewa,mm Niko dar,na hayo mabati ingekuwa vzuri ukanijulisha bei zake na tofauti zake kama inawezekana,samahani lakini
  13. O

    JamiiForums Tanzania Mabati na mbao

    Mm nataka kujua bei kama nitaimudu niwape kazi
  14. O

    JamiiForums Tanzania Mabati na mbao

    Kwa wale wanaofahamu bei ya mabati naomba mnifahamishe bei za mabati ya rangi migongo midogo na MBAO zenye dawa 2*4 futi 18,kama kuna mapungufu ktk tangazo langu pia kusahihishwa ruksa
  15. O

    JamiiForums Tanzania Nahitaji friji la kioo

    Jamani nahitaji friji la kioo kwa mwenyenalo tafadhali picha muhimu
Back
Top Bottom